Recent content by MaMkwe

  1. M

    JamiiForums Tanzania Reshuffles UDOM zinatisha

    You are right.
  2. M

    JamiiForums Tanzania Reshuffles UDOM zinatisha

    Kaka achana na habari za kubahatisha. Bila shaka kuna watu unawadhania. Mimi ni MaMkwe na si mama mkwe kama unavyodhani.
  3. M

    JamiiForums Tanzania Masasi: Nyumba ya mbunge, magari 20, trekta vyachomwa moto... Watu wawili wadaiwa kuuawa!

    Kwani rais wa nchi ni oxygen? Anaweza kuwa kila mahala katika uso wa sayari ya dunia ya nchi yake. Pinda na Nchimbi wapo huko. Unataka sirikali yote ihamie Ntwala ili iweje? Hii nchi ni taabani hata kije chama gani mambo yaleyale. Si juzi tu mmetuambia vijana wa CHADEMA UDOM wamekwiba mahela...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Salary Scale University of Dar es salaam/ Ngazi za mishahara UDSM

    Hili swali halijibiki. Uliza tena.
  5. M

    JamiiForums Tanzania Radio Imaani yaishambulia tena JamiiForums, wadai Idd Amin alikuwa 'Mtu makini'...

    Nafikiri ni bora hoja kupingwa kwa hoja. Mwenye hoja zizazoweza kupinga hoja zao atoe hoja. Nimewasikiliza jamaa wanayosema inaonyesha wameyafanyia utafiti hasa. Kama kuna mpinga hoja zao naye azilete. Tupime na kuamua nani ni msema kweli na nani ni mrongo
  6. M

    JamiiForums Tanzania CHADEMA, uislam na waislam!

    Je wale mapadre wa Sumbawanga waliokuwa wakifukuza waumini wanaoishabikia CCM ni maajenti wa CCM? Mbona Chadema haikutoa tamko kukanusha hilo. Huku kwetu Musoma kila Jumapili ukienda Kanisani Padre anahamasisha tuchague Chadema na Dr Silaa. Hata pale Dodoma kuna kanisa moja Padre alikuwa kabla...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Udom yainyima raha udsm, je kulikua na sababu ya haya yote? Jibu ni ndio.

    Ndugu yangu umeshahudhuria interviews za kazi ngapi? Ukikutana na wanafunzi wa vyuo vingine utacheka ana first class degree hata kutunga sentensi moja kwa kiswahili hawezi hicho kidhungu ndo usiseme
  8. M

    JamiiForums Tanzania TCU na ufafanuzi wa ubora wa degree zinazotolewa na vyuo vyetu vikuu Tanzania

    Vyuo binafsi vipo kibiashara zaidi. Isitoshe wavivu wa kuajiri. Wanatumia walimu wa vyuo vya umma kufundisha. Inakuwa vigumu kwa walimu kupanda punda wawili kwa wakati mmoja. Kwa kuwa vyuo binafsi wanatakiwa kupasisha wanafunzi huko utakuta first class na GPA za ajabu. Lakini kichwani hamna...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Aliyewahi kuwa mtawa wa Katoliki Rukwa afumaniwa na Mume wa mtu

    Wewe umenena. Binaadam hawezi kuwa Malaika hata siku moja.
  10. M

    JamiiForums Tanzania Aliyewahi kuwa mtawa wa Katoliki Rukwa afumaniwa na Mume wa mtu

    Wewe umenena. Binaadam hawezi kuwa Malaika hata siku moja.
  11. M

    JamiiForums Tanzania Waziri Wassira agonga mwamba sakata la uchinjaji nyama Mwanza!

    Umesahau ya kule Sumbawanga na Mpanda? Padre aliwafukuza waumini kanisani kwa sababu ya kukataa kushabikia CHADEMA. Uchaguzi wa 2010 ulikuwa na makubwa bwana viongozi wa Kanisa Katoliki walikuwa wakiwapa maelekezo waumini kila kabla na baada ya misa kupigia kura CHADEMA tena na vipaza sauti...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Vurugu Dumila: Polisi watumia Nguvu, barabara yafungwa kwa muda!

    Hii tugawane. kila mtu akae kwao. Wachaga waishie Moshi, Wamakonde marufuku kuvuka Mbwenkulu, Wasukuma waishie Sekenke, Waha Mwisho Malagalazi, Wamasai hukohuko Ngolongolo. Inakuwa taabu sasa kila mkoa wanapokwenda hawa wafugaji ni vurugu tu. Kwa nini waingilie maisha ya wakulima wakati ardhi...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Udom yainyima raha udsm, je kulikua na sababu ya haya yote? Jibu ni ndio.

    Tatizo letu wabongo ni kujiona wajuzi wa kusema. Vyuo Vikuu vyote vinasimamiwa na TCU. Wao ndio wenye uwezo wa kupima viwango vya ubora kutokana na vigezo walivyoweka. Publications si kipimo pekee cha ubora. Kuna jamaa yangu kanambia kuwa wafanyakazi wa Chuo cha Tiba cha UDOM wanatoa huduma ya...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Reshuffles UDOM zinatisha

  15. M

    JamiiForums Tanzania Wanafunzi St. John's Dodoma waandamana

    Taarifa zilizonifikia hivi punde zinasema kuwa huko Dodoma wanachuo wa St. Johns waandamana kupinga vitendo vya wizi na ubakaji vinavyofanywa na vijana wa kihuni pembezoni na ndani ya chuo hicho. Aliyepo Dodoma tunaomba taarifa zaidi
Back
Top Bottom