COM wenyewe walimtaka Lowassa, lkn kutokana na wivu wa mkwere na mwanakwenda, watu wengi waliteseka kwa hilo. Bila aibu kwa sababu ya njaa zao, watu wazima na akili zao wanaenda mpigia magoti mwanaume mwenzao. Ufala uliopitiliza, njaa zitawaua umbwa nyie, ndio mnaotuletea shida watu wa chini...