Recent content by mamishe

  1. M

    BAHIMA Empire na uchaguzi butu 2020

    tusimpe mungu kazi ambazo tunaweza kuzitatua sisi wenyewe, kila kitu tunambebesha mungu
  2. M

    Ukuta katika machimbo ya Mererani wazua utata

    Kwa uelewa wangu eneo linawekewa mitambo ya gprs ukivuka eneo la uzio hata ukiwa kilometer tano chini ya ardhi inajulikana so kwa hili kuiba ni ngumu, japo huyu sizonje simpendi hata
  3. M

    Tuiachie Serikali itoe majibu ya nani anahusika na shambulio la Lissu, msituchanganye wananchi

    Hayo yote uliyotaja, ulimboka, kibanda, wangwe mpaka leo si serekali wala polisi waliotupa majibu ya nn kilitokea halafu tuendelee kuamini serekali na polisi?? Upuuzi mtupu
  4. M

    Tukio la Lissu linafanana na Tukio la mauaji ya shekh Aboud Rogo Kenya

    Ni kweli rogo aliuwawa kwa mtindo huu huu wa lisu
  5. M

    Polisi kamateni huyu kwanza na wengine wenye tabia hizi

    Huyo anatakiwa apate adhabu kali ya raia si polisi
  6. M

    Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya ni mmoja wa madaktari wanaomfanyia upasuaji Tundu Lissu

    Pole sana poleni sana, majasiri hatushindwi na watu waoga, Pole poleni wanamabadiliko
  7. M

    Kwa maendeleo na nia njema kwa letu, Ally Mayay anatosha.

    Anatosha Sana, ila ngazi za juu zinamtaka SHIJA ni mtumishi wa umma pia ni kama kakachero flan hivi
  8. M

    Sifa kuu unazotakiwa kuwa nazo ili uteuliwe na Rais Magufuli kushika wadhifa wowote

    Y'a 6 uwe msukuma au utokee mikoa ya kanda ya ziwa
  9. M

    Waangalizi wa uchaguzi Kenya waanza kuzungumza na timu ya Raila Odinga

    hao ni mabingwa wa kubadili matokeo kamwe hawawezi kuaminika
  10. M

    Kutoka Tanga: Rais Magufuli awapatanisha Clouds Media Group na Paul Makonda

    Hajapatanisha ila kaamrisha wapatane
  11. M

    Maalim Seif na wewe peleka majina kwa Spika ya kuwafukuza Wabunge waliopelekwa na Lipumba

    mm nikiangalia hii movie napata wazo moja tu (ukitaka kupambana na adui yako haribu ubongo wake haraka, au ungana nae haraka) yani lipumba anaumiza watu vichwa kwa kua kibaraka watu wanamtazama tu, wanalalamika tu bila kuchukua hatua??
  12. M

    PICHA: Unafikiri Kikwete na haka katoto walikuwa wanafurahia jambo gani?

    Linganisha hiyo picha na ile ya mkulu wa sasa akiwa amembeba mtoto jibu Ndio utapata hapo mkuu
Back
Top Bottom