PICHA: Unafikiri Kikwete na haka katoto walikuwa wanafurahia jambo gani?

Hivi punde

JF-Expert Member
Apr 1, 2017
2,554
8,552
FB_IMG_1500965105958.jpg


Katoto kanafurahi, Jakaya Kikwete anafurahi! Katoto kanatabasamu, Jakaya Kikwete anatabasamu!

Unafikiri walikuwa wanajadili nini?
 
awamu hii ndo nimejua unafiki wa watu humu, mlimsema sana Baba wa watu, na huyu sasa mnamsema vibaya, akija mwingine mtaanza kumsifia wa sasa na kumponda huyo atakayekuja. in short hamueleweki mnachotaka. wote wawili wamejitahidi na wa sasa ndo komesha yenu. mtazodoa sana kwenye mitandao na cha kumfanya hamna na 2020 atapata 99% ya kura zote.
 
Back
Top Bottom