Mwisho wa story nzima bado familia ina mgogoro,tena kiini cha mgogoro ni Mzee,da! Pole Sana.
Umeponzwa na yafuatayo;
*Mahaba na familia
*Huruma iliyopitiliza
*Kutokuwa na misimamo binafsi
*Heshima ya kike dhidi ya Mzazi ingali we ni mwanamme.
*Kuzarau mambo na kuchukulia mambo simple simple...
Haka kakijana kajanja sana,hehe,,
Eti "HAWA JAMAA INCHI IMEWASHINDA".
Point ya sentensi nzima imebebwa na neno "HAWA JAMAA".
Kijana master wako alikupika ukaiva,hehe.
Waziri husika alijisahau sana,ana ubest mwingi na kujuana kwingi,hata body language yake inajieleza hasa awapo karbu na mkulu,mazoea na kujuana ndo kitovu cha uzembe kazini,kamanda wa kikosi vitani ana wajibu wake kwa wanaozembea na kurudi nyuma wakati wa upambanaji,acha apumzike dhidi ya wizara...
Kiukweli wengi wa wananchi tunapenda kudandia treni kwa mbele,yaani mtu hajafatilia maaongezi ya rais katika ukaguzi huo na maelekezo yake pia hata mkutano ama majadiliano ya wazi yaliyofanyika baina ya serikali na wafanyabiashara wakiwemo wakuu wa serikali Wazili mkuu na Rais mwenyewe,unakuta...
He he,nijibu kimtazamo;Ni hivi mwanaume kuwa na viziwa ni human nature according to human creation,mfano hata wanyama mbalimbali Kama mbwa dume pia nae anavyo viziwa Kama Kama vya mbwa jike ila ni vidogo,lakini pia mbuzi nae anavyo pembeni ya kengele zake harikasharika kwa punda na wanyama...
Muwe na akili,mfano dada Kama kapewa mlungula afu akatae Kama hakuna ukweli wa jambo alilodai ili iwe dhihaka na aibu kwa mkuu wa mkoa? Lakini huyu dada atakuwa hajielewi yaani uende ukamdanganye mkuu wa mkoa ambae ndo mwenyekiti wa usalama katika mkoa husika kwa ukubwa wa nafasi hiyo na...
Mitaani watu wazima wanasema kwamba watanzania tumelewa na amani tuliyonayo,kwamba wanaafrika mashariki na dunia nzima wanatushangaa kwa kinachoendelea kwa jina la MAANDAMANO.
Lakini kwa upande wa vijana wengi wa umri wa miaka 18 mpaka 37 wanasema "lazima kieleweke bora tufe 500 lakini lazima...
Mwanamke ana asili ya kufunguka yale yanayomkereketa moyoni ili nafsi yake iwe huru,pia hulia ili kuiweka nafsi yake huru na maisha huendelea,tusimlaumu sana kwa kufunguka,daima usizuie hisia za mtu pale anapofunguka ya moyoni,labda asaidiwe tu kimawazo maana tayari ana watoto na teyari ndoa...
Mkuu ndoa yako iko katika hatua mbaya mno,katika hali ya kawaida tayari kuna mtu ameingilia ndoa,fanya ivi;Jiulize kama ni tabia yake toka awali ya kuwa mkaidi na kutokutoa majibu pale unapomuuliza kuhusu jambo ambalo unamashaka nalo,kama ni kawaida yake hapo umeoa sipo nikimaanisha Shem...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.