Recent content by mamiii

  1. mamiii

    USHUHUDA: Waliowahi kupata wachumba JF

    Kama ningeamua kumuanika ningeifanya mda sana ila sikutaka kukurupuka, Huyu mtu ilibidi tuanze kumfuatilia taratibu kwa jinsi anavyojiweka na hadi vyombo vya usalama vimehusika, na huwezi jua na yeye amejipanga vipi kukabiliana na hili Ila nnachojua mwisho wake utafika tu nimewaachia...
  2. mamiii

    USHUHUDA: Waliowahi kupata wachumba JF

    Vithibitisho nnavyo na vyenye uhakika Ni ile sijui kibinadamu inafikia hatua unatumia tu busara kuacha, maana kwa hali yake uwezo wa kurejesha hana itakayoteseka ni familia yake
  3. mamiii

    USHUHUDA: Waliowahi kupata wachumba JF

    Mda mwingine naona bora ingekua hivyo ila aliniingiza kwenye matatizo makubwa but now nashukuru nimeyamaliza Sema nimejikuta nimekua na roho mbaya sana hadi najishtukia mda mwingine
  4. mamiii

    USHUHUDA: Waliowahi kupata wachumba JF

    Ni kweli Asante zote pia ni changamoto za maisha
  5. mamiii

    USHUHUDA: Waliowahi kupata wachumba JF

    Hahaaa nadhani wadada wengi nitawaliza humu jamaa ni tapeli haswa maana ilibidi tuanze kumfuatilia maisha yake
  6. mamiii

    USHUHUDA: Waliowahi kupata wachumba JF

    Sina hata ham nae ni bora angeniambia tu ningempa ila sio alivyonifanyia kila nikikumbuka huwa naumia sana
  7. mamiii

    USHUHUDA: Waliowahi kupata wachumba JF

    Niliishia kutapeliwa pesa zangu ila wewe mwanaume Mungu anakuona ipo siku utakutana na mjanja mwenzio
  8. mamiii

    Wanawake wa JF tukutane hapa

    Nilikutana na wa hivyo ila alichonifanya sina hamu nae Nadhani anatumia uzuri wake kutapeli pesa wanawake
  9. mamiii

    Mrejesho wa kutafuta mchumba JF

    Hata wanaume wapo matapeli humu, kuna mmoja kwa style anayotumia nadhani kaliza wadada wengi sana. Ni sheria tu za humu haziruhusu lkn natamani nimuweke wazi kwa utapeli anaofanya
  10. mamiii

    Ulie tayari kuwa mume na baba kama Mungu akijaalia

    Habari za jioni wandugu Kama lengo kuu la huu uzi linavyojieleza ndicho moyo wangu unachokihitaji kwa dhati na I believe kupitia hapa naweza fanikisha Mimi ni mwanamke nipo kwenye late 20s, mkristo na sio tegemezi Dhumuni langu ni kumpata mwenzangu tutakaeanza maisha ya kuwa mke na mume...
Back
Top Bottom