Ujumbe mzuri huu kwa wanaume macho juu juu.
Hivi inakuwaje unakuwa na lundo la rafiki 2000+ huko kwenye social networks? Huo muda wa kusocialize na hao wote upo wapi!
Hizo guns zinamuhusu mumeo, deal na mumeo maana yeye ndio mwenye makosa.
Anajua ana mke na bado anatongoza nje.
Always mumeo akiwa na mwanamke mwingine nje,ujue kuna sehemu umekosea. Ana kosa kitu ndani, ndio maana anatafuta nje.
Unaona noma kumzidi mwaka 1, muulizie Zari kamzidi miaka mingapi Diamond na bado wapenzi na wamezaa.
Ufupi sioni tatizo, mkiwa kitandani mtakuwa tu na kimo kimoja.
Rais Magufuli ajue kufunga zipu Yake sasa.
Amuheshimu mkewe kwa kukubali kurudiana naye na kuishi naye ikulu japo alizaa na mdogo wa mkewe na bado alikuwa na mchepuko.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.