usije atafuta shuka kumekucha kubalance mambo kunahitajika mno na too much is harmfull so Hekima ,Hekima,Hekima hii nchi hata apewe miaka 50 bado tu tutalalamika maana misingi yake ilikua mibovu so kinachofanyika ni kuziba viraka tusidanganyane.
Sitaki kuamini huyu ni mtanzania mwenye roho ya ubinadamu au mnyama?Kweli mwenye shibe kwmwe hawezi mkumbuka mwenye njaa kha!!!!!nimeishiwa nguvu muuaji si lazima akushikie mtutu dah!!!!!
:):) namjua sana na yeye ni mmoja wa wasio na hekima ktk matamko yake anadhani anajenga kumbe anabomoa hawa ndo wachafua amani lakini nyani haonagi kundule siku zote........ananichefuaga kweli maana si kwa mahaba haya
mnavoongelea hivo vindege mtazani mmeshaanza kuzitumia si msubiri muone huo ushindani wake sasa .Safari zenyewe za local kelele ingekua international route si ingekua shida.Achagen masihari wakati wenzenu wako kistrategic.Si mpk hilo soko kwanza mlidominate ndo mjue si kelele za chura humu na vi...
kweli we ni chaumbea ukiambiwa uthibitishe kauli yako utasemaje maana inazua walakini wa 2020 unachochea uvunjifu wa amani kwa majibu yako kijana chunga sana ulimi wako na mahaba niue yako .
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.