Kwa logic yako, ni wazi kwamba majimbo mengi sana yatakua na huitaji huo kwa kugawanywa......mfano Nyamagana n.k Mm naamini majimbo mengi ya mijini hayastahili kugawanywa hata kama yana watu wengi sana, kwasababu mbunge wake ana urahisi wa kuwafikia na kuwahudumia wapiga kura wake kuliko majimbo...
Karibu shutuma zote za makosa ya kifedha zinazolikabili soka la Tanzania, zaidi ya asilimia 90 huwahusu viongozi wenye uhusiano wa moja kwa moja na timu ya SIMBA S.C.
Mfano. Rage, aveva na wenzake, hajimanara, Wambura, n.k
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.