Heshima mbele sana wakuu,
Swali kwa wanasheria na wazee wa protokali, je suala la kiongozi mkuu wa nchi kuandikiwa RISALA ni swala la kisheria au ni utashi wa kiongozi mwenyewe, nafahamu J.M alikuwa mwandishi RISALA wa JK term ya kwanza, je nafasi hiyo inashikiliwa na nani kwa sasa au iko wazi?.