Mengi analipa watanzania wenzake kidogo , na anawalipa wahindi ambao hawana ujunz alionao mtanzania mshahara mkubwa kweli. Kila kitengo cha fedha katika kampuni ya IPP Ni muhindi.
Petro uongozi na kiongozi mtendaji hahitajiki kuwa na elimu kubwa kama unavyofikiria. Wapo wanye elimu kubwa na Ni viazi vibovu tu.!!!!!! Kikubwa awe mwadilifu kwa taifa na asimamie maslah ya wananchi. Umeshauri kwa vigezo VP Petro?????? Mana hapa umeonesha uwezo mdogo......!!!!
Nnimekuuliza kanuni za utumishi katika nafasi za uteule kama AG katika kustaafu zinasemaje .......???? Wewe kama mwanasheriaa......????!!!!!! Halafu unakimbilia ufaulu.....????? Najua profesa mbunda sio mwajiri......iii ila ukweli unaujua kuhusu Yeye na Hapo ulipo. Nijibu hio ishu ya kwanza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.