Recent content by mamawatano

  1. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nina haki kama binadamu ya kupenda tena

    Unataka kusemaje sasa.
  2. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nina haki kama binadamu ya kupenda tena

    Naomba kufunga huu uzi kuanzia sasa sitaki tena mtu na kwa vile nimetoa golden chance mmeikataa, maombi yamefungwa rasmi.
  3. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nina haki kama binadamu ya kupenda tena

    nakuelewa sana ila sina mizigo wala sitamfuti mtu wa kunisaidia kwa hapa nilipofika natafuta mtu tupendani tuzeeke wote basi. Ukiwaza positive utaelewa nachomaanisha. ndio maana sikukurupuka wakati ule nikiwa na umri mdogo 20's nikaamua kulea na kuwapa elimu sasa kama unavyojua na wao wataondoka...
  4. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nina haki kama binadamu ya kupenda tena

    Ni kweli ila hapa wapo kutatisha tamaa na kusema umri na nitapata tu wakufanana na mimi.
  5. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nina haki kama binadamu ya kupenda tena

    sawa asante kwa ushauri ndio maana nimeanzia 41-55yrs
  6. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nina haki kama binadamu ya kupenda tena

    Sema mabingwa wa kujua umri wa watu na ku charge nimezaa mtoto wa kwanza nikiwa 19 na sasa hivi tunalingana na jeshi langu.
  7. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nina haki kama binadamu ya kupenda tena

    Amen
  8. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nina haki kama binadamu ya kupenda tena

    Kama wewe ni cha pombe pita hivi
  9. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nina haki kama binadamu ya kupenda tena

    Samahani kama nimewakwaza humu ila lengo langu sio baya, sitaki mume wa mtu, sitaki kijana umri 30-40 hapana at least kuanzia 41-55 awe na yeye ana uhitaji kama wangu. Jamani watoto wamekuwa nahitaji mtu wa kuzeeka nae sasa wewe baba ambae unakimbizana na watoto wa 2000 upate presha ya bure acha...
  10. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nina haki kama binadamu ya kupenda tena

    Niweke picha ya nini sasa jamani kama haupo serious acha Mungu atanipa tu kwa wakati wake ukifika, ujue hata kuandika hapa pengine ni mipango ya Mungu
  11. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nina haki kama binadamu ya kupenda tena

    sijapata bado
  12. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nina haki kama binadamu ya kupenda tena

    Pole sana ila kama mtu na wewe huhitaji bora usimtafute. Niko serious kwa mtu mwema alie na uhitaji kama wangu
  13. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nina haki kama binadamu ya kupenda tena

    Asante kwa ushauri dear
  14. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nina haki kama binadamu ya kupenda tena

    Hii dunia ni yetu sote asante kwa ujumbe wako.
  15. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nina haki kama binadamu ya kupenda tena

    Kuwa na adabu
Back
Top Bottom