Recent content by mamanzi

  1. M

    KERO Responded Sikuchagua Mkoa wa Kagera lakini wamenichagua Kagera ndiko nitafanya Oral interview Nauli 100,000

    Bacher wa nini? Na hiyo laki 77,9000 unafanya kazi ofisi ya nani?
  2. M

    Wanaume waoaji lazima tujifunze vinginevyo tutakufa mapema

    Haya mambo ni magumu pa de zote Labda niulize, ni vipi endapo mwanamke mfanyakazi anamiliki nyumba yake na baadae akaoana na jamaa wakaishi hadi mwanamke kastaafu na katika mafao yake akaongeza nyumba nyingine Huyu njemba anahusika?
  3. M

    SoC04 Serikali iwaunganishie wananchi umeme bure, wakatwe kwenye luku. TASAF iweke utaratibu wa kuzilipia kaya masikini

    Wazo zuri sana. Ni wajibu wao Tanesco na wizara ya Niahati kulifanyia kazi
  4. M

    Gharama za nauli, chakula, maji, bundle, pamoja na kodi zinafanya biashara nyingi ziwe changamoto

    Hata usipompa atajichukulia tu lazima…… Hata kama si kila siku
  5. M

    Kutoka kuwakoromea Mawaziri hadi mpokea Mwenge wa Uhuru; kutoka kutumia magari lukuki hadi kwenye gari moja

    Yote maisha Ila tujifunze kuweka akiba ya maneo Dunia hii ni duara
  6. M

    Mshahara wa 2,116,000 kwa Kikokotoo kipya atalipwa shilingi ngapi akistaafu?

    Hesabu inapigwa kwa mshahara wako wa mwisho unapostaafu
  7. M

    Ninaposema msilipe mamilioni kuwasomesha watoto wenu English Medium huwa namaanisha mambo kama haya

    Kama kuna ukweli vileeee!!! Lakini wanaopelekwa english medium schools wameshaandaliwa na nafasi zao Na kama unampeleka kufuata mkumbo hapo sasa ni wewe na hela zako
  8. M

    Ongezeko la vibanda vya kuuza vitu vilivyotumika (used) vya ndani ni ishara ya ongezeko la umasikini kwa Watanzania

    Ni aina fulani ya maendeleo ya kiuchumi kwa upande mwingine Hutumika pia kwa wenzetu na ndio tunaletewa huku kama mitumba
  9. M

    Natamani kila mpangaji angekuwa kama nilivyokuwa mimi

    Nimeipenda sana hii Natamani watu fulani wangeiona hii post maana inawahusu sana
  10. M

    Hapa jirani yangu pana nyumba haijawahi kukaliwa na watu tokea ikamilike kujengwa. Ni mwaka wa 10 huu, mpaka geti linaanza kuoza. Nijitwalie?

    Haoana si mwizi maana nikifuata taratibu Na kama mmiliki angekuwepo angekuwa ameshakuja huu ni mwaka wa 21 sasa Hata kamq nisingekipata mimi angepewa mtu mwingime baada ya wa kwanza kushindwa kukiendeleza
  11. M

    Hapa jirani yangu pana nyumba haijawahi kukaliwa na watu tokea ikamilike kujengwa. Ni mwaka wa 10 huu, mpaka geti linaanza kuoza. Nijitwalie?

    Kwa nyumba sijui ipoje ila kwa kiwanja afadhali Mi nilijipatia kiwanja kwa namna hiyo Kilikuwa ubavuni kwangu na mwenyewe hakuwahi kuonekana Nikaenda ardhi nikawaeleza wakaniambia kasafishe kwanza ukiona kimya weka msingi tulia Nilifanya hivyo na hakutokea mtu lakini palikuwa ma tofali 12 pale...
  12. M

    Mfano ukapata shida ya ghafla, una mtu wa kukusaidia kwa haraka?

    Nina mmoja tu Mungu ampe riziki pana ili anistiri Zaidi ya hapo mimi ndio kimbilio la wengi ingawaje nami sio kwamba nina nafasi kuuubwa ila ni mwepesi wa kubeba ya wengine
  13. M

    Bongo Star Search hiki mnachofanya ni udhalilishaji

    Shilole kuwa jaji wa bongo star search ni kosa la waandaaji kwenda sasa kushusha hadhi ya hiyo platform na kutaka cheap labour
  14. M

    Ni sahihi kumtoa mama yako kwa baba yako kwa sababu ya kuteswa?

    Mimi nilishindwa kushuhudia mama anateseka namna hiyo tena kwa mwanamke tu ambae si wa kuolewa Mwanamke alikuwa analetwa hadi nyumbani Mama akatengwa chumba kingine Kila mmoja anapika sehemu yake Kwa kweli nilishindwa nikawa namchukua mama mara kwa mara kumpumzisha na zile adha Mwishowe baba...
Back
Top Bottom