nashindwa nimwite nani, ila nibwana tumezaa watoto 2,tunaishi pamoja mwaka wa 4 sasa. sikujui kwao hakujui kwetu naongea tu na ndugu zake kwenye simu, lini tutafunga ndoa anadai akipata hela wakati huo anmshahara takehome zaidi ya laki 8,nami pia ninamshahara wanguzaidi ya laki 4. zaidi kila...