Recent content by Mamamercy

  1. M

    JamiiForums Tanzania Huyu ndiye Mwigulu Nchemba

    Wewe ndie unamkubali usijumuishe na wenzio kisa umepewa kitu upige debe... Eti mwigulu nae awe rais ptuuu!
  2. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Unafahamu kuwa ‘high heels’ inaweza kuongeza mvuto wako

    Me baada ya kusikia hiyo habar nilipunguza kuacha kabisa nimeshindwa navipenda sanaah ... Miaka 7 mfululizo sikua na flat shoe hata moja ila siku hizi high heels navaa nikiwa na gari tu
  3. M

    JamiiForums Tanzania Mchanganuo wa Biashara (Business Plan) - REQUESTS

    Darasa z
  4. M

    JamiiForums Tanzania Mjadala wa Ushauri na tiba ya maumivu makali ya tumbo wakati wa hedhi (dysmenorrhea)

    Yea ni wengi msimu huo unawatesa tusubir wataalam
  5. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Riwaya: Bondia

    Inaendelea lini sasa? Najua nitaipenda huyu Tuwa ni mtunzi mzuri
  6. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanamke mnene na mwembamba, yupi ana mvuto kimapenzi kwa wanaume walio wengi?

    Hujakutana na wanawake wembamba wewe Fidel80 huyo itakua kakondea shida mvuto atautoa wap lakin wenye wembamba na urembo wetu plus kujua thaman yetu hatuna habarii!! Huchok kutuangalia
  7. M

    JamiiForums Tanzania Nina millioni 80 nataka ushauri wa biashara

    Malila unaweza kunielekeza kwa uzuri kuhusu hicho kilimo cha miti
  8. M

    JamiiForums Tanzania Fursa za biashara nchi ya Thailand

    Sio wazo baya
  9. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanaume tuache ubahili tuwatunze wapenzi wetu

    Nimekupendaje!!
  10. M

    JamiiForums Tanzania Jifunze njia nzuri ya kufanya manunuzi kwenye mtandao (Ebay, Amazon, Bestbuy)

    Nzuri inatia moyo na kufanya tuthubutu
  11. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Aisee Ushuhuda wa macho unauma sana jamani!

    Sounds like goes around comes around... Ulidhan umepata kumbe!...
  12. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Naombeni ushauri, mahusiano yangu yanatawaliwa na ugomvi na matusi

    Mamaafacebook hapo si pa kukaa mtu akutukanie hadi makaburi ya kwenu unamng'ang'ania wa nini? Mwanaume gani hana heshima??
  13. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Women with higher IQ's...

    Nimecheka SANAH
  14. M

    JamiiForums Tanzania Mtaji wa pamoja kwenye mradi wa kilimo- (joint capital)

    Umesema vyema kisima ni heri kuwa wachache wenye malengo sawa kuliko kutaka idadi kubwa mje kuvurugana badae.. Na mtaji wa kuanza si lazima muwe na mahela yote hayo inawezekana kuanza kama wakulima kawaida mkikua mnasajili kampuni
Back
Top Bottom