Recent content by mamakunda

  1. M

    JamiiForums Tanzania GE2015 Mwita Waitara aitingisha Ukonga wakati akirejesha fomu za kugombea Ubunge CHADEMA

    MASONJO SAMAHANI NIKUULIZE, ulisoma kozi gani pale UDSM? na ulikuwa mwaka wa ngapi wakati Waitara akiwa Rais wa DARUSO? Je, Unaweza kutueleza wana janvi ni deal gani alizokuwa akipiga akiwa kama Rais enzi hizo? Kwa ufupi tu nikufahamishe, Mwita Waitara ni kiongozi shupavu asiyepelekeshwa hata...
  2. M

    JamiiForums Tanzania GE2015 Mwita Waitara aitingisha Ukonga wakati akirejesha fomu za kugombea Ubunge CHADEMA

    MASONJO SAMAHANI NIKUULIZE, ulisoma kozi gani pale UDSM? na ulikuwa mwaka wa ngapi wakati Waitara akiwa Rais wa DARUSO? Je, Unaweza kutueleza wana janvi ni deal gani alizokuwa akipiga akiwa kama Rais enzi hizo? Kwa ufupi tu nikufahamishe, Mwita Waitara ni kiongozi shupavu asiyepelekeshwa hata...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Mwanamke wa Kitanzania ateswa Dubai, atakiwa kusafirisha dawa za kulevya

    Labda mwezi huu wa kumi, ila mwezi uliopita me nilisafiri kwenda Doha na walikuwepo wasichana kibao wanaenda kufanya kazi uarabuni. Yaani mpaka nilishangaa hadi mmojawapo nikamuuliza wanapataje hizo kazi akanielezea na nikamuuliza maswali mengi sana. Akanionyesha na Nyaraka zake pia.
  4. M

    JamiiForums Tanzania Mungu nisaidie nisipate mtoto wa kike

    Shida ni kwamba maelezo yako hayakujitosheleza kwa mtu ambaye hajui kabisa hawezi kufanikiwa kwa kufuata maelezo yako uliyokuwa umeandika. ungetakiwa ufafanue vizuri namna ya kupata mtoto wa kiume ili msomaji aelewe zaidi. Maelezo yako, yako too general hebu yasome tena mara mbili na uya-digest...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Mungu nisaidie nisipate mtoto wa kike

    Ndugu usidanganye watu si siku zote mwanamke anapofanya tendo la ndoa anapata mtoto au mimba kuna siku specific za mimba vivyo hivyo kuna siku maalum za kupata mtoto wa kiume, usipozingatia hizo hutapata mtoto wa kiume hata kama utafanya kama ulivyoelekeza, wapo wataalam humu jf wanajua...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Jamani naombeni ushauri kuhusu hili

    Ni kwell atakuwa na tatizo linalohusiana na moyo. Mpeleke kwa mtaalam wa magonjwa ya moyo
  7. M

    JamiiForums Tanzania KUFUNGIWA REDIO IMAAN NA NYINGINEZO: haki haijatendwa!

    itoweke ndan ya tz. Hatutaki chuk kati yetu
  8. M

    JamiiForums Tanzania Soya inasababisha cancer?

    Leo tukiwa katika mazungumzo ya hapa na pale katika kituo changu cha kazi nimestuka kusikia kuwa lile ganda la Soya linaweza kusababisha kansa! Kwa kweli nimestuka sana manake watoto wangu nimekuwa nikiwatengenezea lishe iliyochanganywa na Soya! Nilichokuwa nafanya ni kukaanga tu ile soya ili...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Kutafuta jinsia ya mtoto kabla hajazaliwa

    Asante sana kwa majibu mazuri na yanatekelezeka!
  10. M

    JamiiForums Tanzania Kutafuta jinsia ya mtoto kabla hajazaliwa

    Najua hapa ndo kitovu cha busara na elimu za kila aina. Ninaomba msaada wa kuwa na ujuzi wa kupanga jinsia ya mtoto. Izingatiwe kuwa mtu anapojibu swali azingatie mzunguko wa hedhi wa SIKU 24 na 28. Yaani hiyo iwe reference ya majibu. Nasubiri majibu yenu waungwana.
  11. M

    JamiiForums Tanzania Msaada wa Mawazo

    usidanganyike kaka mzuri ni mkeo peke yake ndo maana ulimchagua ukamuoa. Achana kabisa na huyo binti na unatakiwa kumwonyesha msimamo wako kuwa humtaki. Ukitaka kuibomoa ndoa yako kwa mikono yako mwenyewe we jaribu tu utayaona matokeo.
  12. M

    JamiiForums Tanzania Msaada wa Mawazo

  13. M

    JamiiForums Tanzania Wanawake Wanene: Less Successful

    Kwa kweli research hii haijaniingia hata kidogo.
Back
Top Bottom