Jamani naombeni ushauri kuhusu hili

Jamani naombeni ushauri kuhusu hili

heartbeats

JF-Expert Member
Joined
Feb 10, 2014
Posts
8,025
Reaction score
13,331
Dada yangu anatatizo la macho kuvimba hadi kufunga macho pindi aamkapo asubuhi ikiambatana na kichwa kuuma, na shingo akinawa na maji ya chai au vuguvugu na chumv kidogo yana poa hili ni tatizo gan jaman!
 
mpeleke hospital mkuu ila dalili hizo kwa ninavyofahamu itakuwa bp
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom