Recent content by mamaakemtu

  1. M

    Msiba wa Komba: Kanisa Katoliki Mmejidhalilisha, Mmetufedhehesha

    Hv mtoa post umekurupuka toka choon eeeh huyo kat ni make kweli wa marehem wa pemben ni mtoto wake saraphina komba we unasema et mke wa pil mwehu kweli
  2. M

    Mambo ya kudanganyana ya nini?

    Hahaaaa nliona mahali et unajidai blak is beauty wakat michepuko ya mpenz wako wote weupe jichubue tu mama weus achia mkaa...nlicheka sana
  3. M

    Exclusive: Jay Dee afunguka, atoa sababu za kuitosa ndoa yake

    Mmmh!sasa uyo g aliyang'anywa kwa wangap mara ida mara fauzia looh!
  4. M

    Philipo Mwakibinga azidi kuwa tishio huku mahakama ikimzuia kurejea chuoni

    Uyu atasifiwa na watu ambao hawakusoma udom ila tulosoma pale namuomea huruma tu maana siasa imemtawala kuliko kitu chochote na hawazii future take nje ya siasa, ni mtu mpuuz sana.
  5. M

    Maziwa ya Azam yana hitilafu kimaelezo

    Kuna vle vjui vyake vdogo kuna moja imechorwa ndiz,strawberry na vinini sijui jaman ukisoma kwenye maelezo vtu vlivyotumika kutengeneza amna hata kimoja cha kwenye picha. Watanzania tupende kusoma maelezo kabla ya kula kitu afya ni muhmu aisee
  6. M

    Maziwa ya Azam yana hitilafu kimaelezo

    Yan ata naz zake mi sizielew kabsa niliijarbu mmmh!mchuz unakua ka umeweka ngano loooh
  7. M

    Maziwa ya Azam yana hitilafu kimaelezo

    Uyo bakharesa hana hata ranchi ya ng'ombe kama tanga fresh do u think hayo maziwa fresh atapata wap pale ni kachukua maziwa ya unga yamekorogwa kajaza mle ukitaka kuamin nunua maziwa yale makubwa usiyachukuche geuza chin juu afu kata lile boksi utakuta maziwa kibao yameganda
  8. M

    Nimetembea na shemeji yangu

    Hahahhahaaaaaaaaaa
Back
Top Bottom