Mambo ya kudanganyana ya nini?

Mambo ya kudanganyana ya nini?

Hahaaaa nliona mahali et unajidai blak is beauty wakat michepuko ya mpenz wako wote weupe jichubue tu mama weus achia mkaa...nlicheka sana
 
Hahaaaa nliona mahali et unajidai blak is beauty wakat michepuko ya mpenz wako wote weupe jichubue tu mama weus achia mkaa...nlicheka sana

Misemo kama hiyo inaharibu ufahamu wa watu na kuwafanya wakose kujiamini.
 
hao makope bandia, hao lip bandia, hao makalio bandia wanao penda ni wadada je kuna mwanaume anavyo hvyo vitu? Ndo maana nkakwambia kwan umeelezea wanawake tu?

Nimewaelezea hao kwa kuwa imekuwa too much, yaani kila unayekutana naye ni fake tu tofauti na hao unaodai sijawasema.
 
lips bandia???izi sijakutana nazo bado mwenye picha tafadhali anisaidie ufahamu
 
Back
Top Bottom