Recent content by mama watoto wengi

  1. M

    Hujafa hii dunia hujaumbika jaman

    Wanajamvini msinishangae mie kila siku wa kuomba ushauri . Nina rafiki yangu mmoja kweli anatia huruma, kaolewa mwaka wa tano hapati mtoto katembea sana mahospitalini ila nashukuru Mungu sasa kapata dokta mzuri anaendelea nae kimatibabu. Binasfi hajawahi shika mimba tangu azaliwe na wala...
  2. M

    Mfundaji anahitajika

    nangojea pm zenu
  3. M

    Wanaume wanaojitambua bado wapo

    mwarabu tena wa Tanga usalama upo hapo kweli ndugu yetu ?? angalia asije kuwa anakupanga
  4. M

    Mfundaji anahitajika

    achene masihara bana
  5. M

    Mfundaji anahitajika

    Habari zenu humu ndani kwa wale wanaojua wafundaji wazuri wa kufunda mtoto wa kike tafadhali achieni namba zao humu ndani ila mfundaji huyo awe tayari kusafiri kuletwa mkoa wa ajili ya shughuli hiyo.
  6. M

    Simuelewi huyu dada kabisa

    Uhusiano wao ulikuwa kama miezi nane tu
  7. M

    Simuelewi huyu dada kabisa

    Mrs leo walipokuwa marafiki alimpaga huyo dada password awe anamsaidia kuchukua hela in case maana mkaka kazi zake ni za field na anaweza chukua mwezi hayuko mjini kilichotokea hapo siku ameenda kuiba inaonekana alipeleleza akajua hayupo na kadi za benki za huyo kaka zilikuwa ndani hakusafiri...
  8. M

    Simuelewi huyu dada kabisa

    Jamaa mie naona anampotezea mbaya sana maana dada amejitahidi kumrubuni mara kibao kwamba wakakumbushie anakuja kuniambia na mie naona kabisa hamtaki
  9. M

    Simuelewi huyu dada kabisa

    asanteni nimeirekebisha wapendwa
  10. M

    Simuelewi huyu dada kabisa

    Habarini wanajamvini. Mimi nina mpenzi wangu ambae naweza sema tunapendana sana sasa kabla hajawa na mie aliwahi kuwa na mpenzi wake yaani gf kwa maana hiyo baada ya kuachana na yule ndipo alipokuja kwangu na bahati mbayamimi sikuwahi kumjua huyo dada nilikuja mjua baada ya yeye kuanza...
  11. M

    barua

    Hi NAOMBENI MSAADA KWA YEYOTE ANAYEWEZA NITUMIA SAMPLE NZURI A BARUA YA KUTOA ORDER KWA MTU KUREMOVE COMPANY LOGO KWENYE GARI ALILOUZIWA ASANTENI
  12. M

    Kwa wale wenye matatizo ya kutopata watoto/uzazi

    dada upendo na kwa wale ambao hawajawahi hata kupata hiyo mimba unawasaidia??
  13. M

    Moses Kulola, Askofu Mkuu wa Makanisa ya EAGT afariki dunia

    wameshakumbatiana na Fanuel sedekia Hongera baba umeimaliza safari salama
  14. M

    Wanaume acheni porojo fanyeni kweli

    hahaa hii yako kali ukute mwenyewe ulijiandaaje kuliwa mzigo
  15. M

    Wanaume siku hizi wamekuwa kama wanawake ushauri

    sikumtongoza mwenyewe hapo nakataa sema nina maisha yangu na akazi yangu nzuri labda kama ndivyo vilivyomleta
Back
Top Bottom