Wanaume wanaojitambua bado wapo

Wanaume wanaojitambua bado wapo

Jamaa bado anakulia timing tu huyo na inaonekana umeshaingia kwenye line. Sasa tunasubiri tu malalamiko kuwa umetendwa.
 
Unajua nini? Kesho na keshokutwa atasema all men are the same

haha.. true, huwa nashangaa wanavyosema "all men are the same" wakati ameshatoka na wanaume na watano tu, akisema all men are the same inamaanisha ameshatoka nao wote dunia nzima, which is impossible.
if all men are dogs, then all women are b-tchez
 
Back
Top Bottom