mama watoto wengi ongea na mpenzi wako na mweleze adha inayopata kutoka kwa huyo dada. Kwa pamoja tafuteni ufumbuzi wa kero hiyo, usijaribu kutatua pekeyako, maana imeandikwa "Bora wawili kuliko mmoja". Kumbuka kumshirikisha Mungu kwani imeandikwa "Usitegemee akili yako mwenyewe".
Uhusiano wao ulikuwa kama miezi nane tu
hio sio story...ni mtu anaelezea matatizo yake...vp nyie...!!!???Kama mimi.
The story is too boring.
Weka picha yake