Recent content by mama wa wili

  1. M

    JamiiForums Tanzania Pata nguo za Mitumba, Grade A

    wanajamii wenzangu jamani hilo group la whatsap mbona halipo au wengine mpo?tuambieni basi ili tujue siku zinazidi kwenda na fulsa iliyopo ndo hii ilitujue
  2. M

    JamiiForums Tanzania Pata nguo za Mitumba, Grade A

    naulizia jamani kuhusu hilo group kama lipo?
  3. M

    JamiiForums Tanzania Pata nguo za Mitumba, Grade A

    habari zenu, naulizia hilo group la whasup limeshaundwa ?
  4. M

    JamiiForums Tanzania Unga wa Muhogo

    Habari! Natangaza jamani nauza unga wa muogo ,kwa jumla na rejareja. ni mweupe mzuri kwa ajili ya afya njema. unaweza ukapikia ugali na ni substitute ya unga wa ngano. Nipo kibaha .karibuni sana.
  5. M

    JamiiForums Tanzania Dhana ya Bikira

    Nimependa sana hii mada. kwa kweli kwa binti kujitunza inawezekana had kuolewa. kinacho hitajika ni kuwa na hofu ya Mungu. na malezi bora kwa wakati yatasababisha kujitambua.
  6. M

    JamiiForums Tanzania Nguo za Mitumba

    Ok, asante sana nimekupata .ntafanya hivyo@ Mchunguzi huru
  7. M

    JamiiForums Tanzania Nguo za Mitumba

    Ok.asante.
  8. M

    JamiiForums Tanzania Nguo za Mitumba

    Wadao naomba mnijuze kwa anaefaham , je! Ni mitumba ya nchigani ambayo ni mizuri kwa kuuza? Plz!
  9. M

    JamiiForums Tanzania Chumba kinapangishwa Mwenge

    Hahahaha umenifuraisha sana@ Kanch. asa jibu bas ni chumba kimoja au jiko na choo vimo?@Tunzo
  10. M

    JamiiForums Tanzania Chumba kinapangishwa Mwenge

    Ni chumba, sebule na choo au chumba tu?
  11. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta chumba Kigamboni

    Naomba wadau mnisaidie kwa mwenye kujua upatikanaji wa nyumba ya kuishi.
  12. M

    JamiiForums Tanzania Updates Ofisi ya Mwanasheria Mkuu

    Nawashukuru kwakunipigia na mimi. maana nimeisubiria hiyo call kwa ham sana. hatimae leo wamepiga.
  13. M

    JamiiForums Tanzania Updates Ofisi ya Mwanasheria Mkuu

    Aah, oky kamawapo ktk mchakato basi tuwetunajuzana zaid yanayojili.
  14. M

    JamiiForums Tanzania Updates Ofisi ya Mwanasheria Mkuu

    Ilikua ni Dar @ Chagga
  15. M

    JamiiForums Tanzania Updates Ofisi ya Mwanasheria Mkuu

    Asanteni kwa kuntiamoyo.
Back
Top Bottom