Recent content by mama visa

  1. M

    Walimu jiji la mwanza wakaguliwa vyeti

    Tangu j. tatu walimu jijini hapa wanakaguliwa vyeti.niwaulizeni wana jf hili zoezi na kwenu lipo?wanakagua yafuatayo:cheti cha fm 4,ualimu,leaving certificates na result slips.sababu wanataka kubaini vyeti feki.:yawn:
  2. M

    Hatimaye WANAWAKE walalamikia MBINU ZA UZAZ WA MPANGO

    njia hizi zina madhara makubwa. mimi niliwahi kutumia vidonge vya kuhishia rangi ya ugoro nilikonda nikafanana mzimu, usiku nikilala nilikuwa najisikia kama nahishiwa pumzi.kama vile nakufa.mume wangu alikuwa anapata shida sana hamu ya tendo la ndoa ilinihishia.nilipoamua kuacha kutumia hivyo...
  3. M

    Wito: Tujiondoe CHADEMA

    hii inaonyesha ni kwa jinsi gani ccm imechoka kuhamasisha wanachama wake wanapigwa bao na cdm.msijidanganye heti ni ushabiki! majibu mtayapata 2015.:fish2:
  4. M

    Mkurugenzi Mkuu wa Bandari asimamishwa kazi!

    :alien:hongera mwakyembe usilegeze kamba mungu yu pamoja nawe.huko bandarini ni uozo mtupu:yawn:
  5. M

    Baada ya Walimu kutolewa katika zoezi la Sensa Vijana wachukua chao na Kusepa.

    :spy:akianani sensa ya mwaka huu serikali itegemee madudu huku mwanza karani wanafanya survey kwenye maeneo walopangiwa.wanayo ramani ya eneo cha ajabu hawajui hata kuitafsiri.wakaniomba niwasaidie.nikawambia waende kwa mwenyekiti wa mtaa. wakasema amewakwepa.mimi ni mwl ramani ile simple sana.
  6. M

    MINJA na Ukiritimba katika upandishaji vyeo: {kitengo cha Utumishi Wizara ya Elimu na Mfunzo ya Ufun

    :flypig:hiyo ni kweli kabisa wasomi tukomae madaraja yabadilishwe kihalali na si upendeleo
Back
Top Bottom