Mbona hujasema pia hizo pesa zinawasaidia kufanya uzinzi na wake za watu pamoja na kulewa pombe kwenye mabaa? Hayo ndo maendeleo ya hizo akaunti zao? Acha kutetea uovu,Askofu kachemsha. Hata kuhisiwa tu ni dhambi. Jina la Bwana lisitukanwe kwa ajili ya wizi. Siyo siri maaskofu na mapadre wenu wa...
Acha uongo. Ulishawahi kuingia kanisani ukaikuta hiyo ndombolo? thibitisha. ni mtumishi pekee anayeijua biblia na kuifuata km ilivyo. Hachakachui wala hapunguz viwango.
Karibu bwana msema ovyo,umerudi na mabomu situmeyaona arusha jana. Lakin nataka kukwambia hv chunga sn mdomo wako,hata MUNGU alionya kwakusema soma mithali 19:1,5 (mpotofu wa midomo aliye mpumbavu,shahidi wa uongo ataadhibiwa na asemaye uongo hataokoka) mithali 18:20-21 (tumbo lako litashiba...
Hata mimi nimekimbia sn tu,wizi mtupu. Ushindi kwa PIPOOOOOOOOOS PAWAAAAAAAAAAAAA Karbu sn Munwanizi. Hatuwezi kumpa udiwan mwizi mtaalam wa kufoj hesabu. Pamoja na kupigwa mabomu tumeshinda. Najiuliza swali uchaguzi wa diwan ffu,askar,magari kibao yametumia mafuta kibao gharama za wananchi,sasa...
Ukikaa na mwizi lazima nawewe uwe mwizi,alikaa na wezi mafisad nae akawa km wao ili waendane. Sasa alikohamia no uchafu huo,naye atakuwa km walioko huko. Tulia wewe.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.