Nani amekuambia rais ana mamlaka ya kumvua mtu yeyote uraia? Hebu weka hapa hiyo ibara ya katiba ya nchi inayohusu mtanzania kuvuliwa uraia kwa kushabikia timu ya nchi nyingine. Watanzania ni watu huru. Babu zetu walipigania uhuru na waliunda katiba ya nchi ili sisi wajukuu tuishi kwa raha na...
Hakika wewe ni mmoja ya wajinga wakubwa kuwahi tutokea hapa nchini. Sasa wakulima wakilipwa ndio nini? Je, unajua ni hela ya nani imetumika (au itakayotumika) kununua mzigo ambao utaoza kwenye maghala bila ya mnunuzi?
Serikali haikupaswa kabisa kuingia kwenye hii biashara kwa kukurupuka hivi.
Hakuna kitu kama hiki South Africa. Sio Mandela Peace Prize wala sio hiyo Mandela Institute. Na huyo Dr. Paul Kananura aliyetajwa ni mrwanda ambaye anaendesha ka small organization sijui wapi huko, wala sio Johannesburg. It is such a shame that in this day and age of technological advancement...
Huyo Wema hata nyumba ya kuipark hiyo Range Rover hana. Si bora basi angalau angenunua nyumba uswahilini? Maana mil 200 hupati nyumba Masaki, Mikocheni hata Mbezi Beach! Grow up, Wema. Hiyo Range Rover inahitaji maintenance sasa na wewe kazi yenyewe ya kuungaunga!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.