M-Pesa hawajaongeza gharama za miamala

Sunbae

JF-Expert Member
Sep 14, 2015
254
176
Habari Wanajamvi,

Kutoka katika chanzo cha kuaminika ndani ya Kampuni ya Mawasiliano ya Vodacom Tanzania ni kwamba hakuna marekebisho ya tariffs yaliyofanywa ikiwa leo ni siku ya kwanza katika mwaka mpya wa Fedha.

Unaweza kuangalia tariffs za zamani na zinazoendelea hapa http://vda.cm/29lyl8a
 
wanatuchanganyaaaaaaaaaaaa!!!!!!!!!!!km kweli wangetoa taarifa kabla ya Leo.
 
Back
Top Bottom