Recent content by Mama katoto

  1. M

    JamiiForums Tanzania Hivi ni kwanini wanaume wafupi wanaringa?

    Ajabu sana na huenda niko tofauti na wengi huwa napenda wanaume wafupi kiasi. Yaani asiitwe mrefu. Ukute anajua kupangilia nguo zake na akupende. Mi nawapenda.
  2. M

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Mfanyabiashara maarufu Arusha aibiwa Tsh. Milioni 100 kwenye akaunti ya Benki ya NMB

    Umenikumbusha mwaka fulani MKopo wangu wa kwanza nilichukua NBC. nikaambiwa mshahara wangu unaweza kupata milioni 10. Ila ajabu baada ya kupokea mkopo nikaanza kuona makato yanakuwa makubwa. Nikawaconsult. Kwa mshtuko mkubwa nikakuta makabrasha yanaonesha nimekopa 14m. Kumbe wale vijana wa...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Mwanamke wa uswahilini

    Wadada wa uswazi siku ya sherehe au shuguli wao wanavyoziita hutaamini walivyovaa mavitu ya gharama. Mawigi, viatu pochi n.k. na anaishi chumba kimoja tena cha giza. Hapo ndiyo utajua kuna miujiza!!!
  4. M

    JamiiForums Tanzania Uzi maalumu wa kusubiri post za ajira za TAMISEMI

    Diploma mkuu
  5. M

    JamiiForums Tanzania Je, ukiwa kwenye uhusiano wa Kimapenzi na Mwanamke ni lazima kumhudumia Kifedha?

    Tafuta saizi yako tu wala hutalalamika. Kuna mwanamke anapewa hiyo buku mbili anashukuru. Na kuna mwingine anapewa laki mbili na anaenda kukucheka na shoga zake.
  6. M

    JamiiForums Tanzania Uzi maalumu wa kusubiri post za ajira za TAMISEMI

    Kweli inavunja moyo. Nimetemwa. Najiona kabisa nikiweka vyeti vya nursing kabatini na kuangalia upepo mwingine.
Back
Top Bottom