Recent content by Mama Ivy

  1. M

    JamiiForums Tanzania Nimechaguliwa bachelor of science in chemistry ya udsm je kibongo bongo ina dili?

    what about bachelor of science with geology -UDSM
  2. M

    JamiiForums Tanzania Nimechaguliwa bachelor of science in chemistry ya udsm je kibongo bongo ina dili?

    what about bachelor in science with geology?
  3. M

    JamiiForums Tanzania AICC hospital

    jamani je St Thomas?! one yeah back nilikuwa mjamzito sasa sikuweza kula kabisa,yaani kama miezi miwili nilikuwa nimeshalost kama kg 5,nikaenda pale nikapewa dawa za kuzuia kutapika na at least nipate apetite,alinipa za one week alafu nikatakiwa kurudi hosp baada ya one week, nilianza kula kweli...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Awamu ya tatu ya JKT

    nimeongea leo na my young sis yupo kambi ya tabora nikidhani anarudi mapema lakini she told me kambi inamalizika tarehe 27/09
  5. M

    JamiiForums Tanzania Aliyemuua bilionare Erasto

    what?! My God,i know that Shariff guy,ni mtu wa dini sana,ama kweli usimjaji mtu kwa kumwangalia kwa macho.
  6. M

    JamiiForums Tanzania MUHIMU:Ambao hamjaona/mliokwiaha ona selection.zenu TCU

    jamani mdogo wangu yupo jkt ananisumbuaje!pls kama yapo tayari naomba muongozo wa cha kufanya.
  7. M

    JamiiForums Tanzania Uterine Fibroids (Myoma): Preventing, Shrinking and Avoiding Surgery

    seriously,kwahiyo possibility ya kupata ujauzito tena ikoje?
  8. M

    JamiiForums Tanzania Uterine Fibroids (Myoma): Preventing, Shrinking and Avoiding Surgery

    hi wapendwa, kama miaka miwili imepita nilifanyiwa operation ya multiple fibroids, Sina mtoto bado,ila nilipata ujauzito last year on june lakini mwezi wa nane ukatoka,sasa since then sijawahi kupata ujauzito tena,am too worried, na pia wasiwasi wangu mkubwa nilisoma somewhere kwamba fibroids...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Wanawake waliomuacha huwa hawaolewi

    ni Zablon,huyo rafiki yako inawezeka yeye ndie hajaamua kuachana na his past,kama una mke na watoto kwanini unaendelea kufuata maisha ya ma ex?! tell him to live his life,inaonekana bado anaumia na yaliyotokea.
Back
Top Bottom