AICC hospital

AICC hospital

jamani je St Thomas?! one yeah back nilikuwa mjamzito sasa sikuweza kula kabisa,yaani kama miezi miwili nilikuwa nimeshalost kama kg 5,nikaenda pale nikapewa dawa za kuzuia kutapika na at least nipate apetite,alinipa za one week alafu nikatakiwa kurudi hosp baada ya one week, nilianza kula kweli lakini baada ya one week kurudi nikaambiwa doctor kasafiri,basi kwa uoga ya kurudia ile hali nikaenda na zile karatasi za zile dawa zilizoisha kwa yule mhindi pale kwenye ile phamarcy pale rusda,si nikamwambia anipe na same same dawaz,bwana si acha aniambie kati ya zile dawa mbili nilizomwenyesha moja haijapitishwa kutumiwa na wajawazito,imagine! baada ya 2 weeks nikapata miscariage. yaani naichukia hile hosp kupita maelezo.
 
Yani hii hospital majanga receptionist wananyodo km nini watu tuko foleni masaa cjui madoctor hawana au inakuwaje

Madaktari hadi watoke KCMC na Mt. Meru Hospital, hapo wa kwao ni Kimario labda pekee maana jembe lao Dr. Omary Lweno (Azania+Tambaza product)alishaondoka pia. Wakirekebisha swala hilo itakua vema. Mapokezi waache NYODO, wanabinua midomo kama wamelamba ndimu!
 
Juzi nimeenda pale sijui wamesoma comments zangu humu?yaani nilipata huduma hadi sikuamini ...reception kwa kuanzia ...nikakaribishwa na kuchekeshwa na mama mwenye nyodo huku ananipa file huku kafurahi bila sababu...naenda kwa dr nikakukatana na dr kijana mweusi (if am not mistake ni Dave sijui) sijawahi kuulizwa maswali ya kidr...mara ya mwisho sijui mwaka gani..but huyu aliniuliza na kunipa ushauri wa why unataka this dawa huku katulia na mgonjwa kabisa..for real wamejaribu atleast kunivuta tena
 
itakuwa waliona jinsi walivyopondwa humu jf wakaamua kujirekebisha!!
 
Back
Top Bottom