Umesema kwa kuwatazama, utajuaje mtu anachokiwaza kwa kumtazama? mwenye uwezo huo ni Mungu pekeeHuenda rafiki hujasoma hiyo post vizuri. Hebu jaribu kurudia tena kusoma utaelewa kabisa ninachoeleza.
How old are you?
kudadadeki.
Huyo rafikiyo lazima ana mapepo yenye kisirani cha kuachwa, na mapepo hayo hufunga milango ya ndoa ya wasichana waliomuacha. zion daughter na ladyfurahia hebu fikeni pande hii tufanye maombi ya deliverance
Kudadadeki.
Huyo rafikiyo lazima ana mapepo yenye kisirani cha kuachwa, na mapepo hayo hufunga milango ya ndoa ya wasichana waliomuacha. Zion Daughter na ladyfurahia hebu fikeni pande hii tufanye maombi ya deliverance
hamna kitu kibaya kama kumuacha mtu bila sababu(awe mme/mke)ni vyema kabla hujaanza relation na ufikirie na si uache kabisa pindi ukishaanza,uzoefu uliopo unaonesha wenzi wengi waliacha wenzi wao bila sababub za msingi au waliishi bila kuolewa,waliolewa wamechelewa sana,au waliolewa na ndoa zao hazikudumu,kamwe si busara kumwacha mtu without reasons habari ya uhusiano ni serious this should get into our brains!
Pole sana ushaacha mtu nn?you can always start afresh.....ngoja ni-extend hii hoja kidogo kwa faida yetu wote.try to imagine mwanaume anaeanza mapenzi na mpenzi wake na wakafanya sex(siku hizi kufanya sex before marriage watu hawaoni ubaya wake but ni big deal though tunaichukulia poa sana)back to the topic.....bahati nzuri au mbaya Huyo mdada wa watu alijitunza so alikua bikra ,so wakati wa sex huyo mdada ni lazima atapata maumivu makubwa Wakati wa kuondoa hyo bikra so damu huwa inatoka(blood shading)hamna kitu cha kuogopa Kama kumwaga damu ya mtu bila sababu(japokuwa haipaswi kumwaga damu ya mtu hata kwa sababu).Dah umenigusa mie.mpaka i fil lyk cryng!
hamna kitu kibaya kama kumuacha mtu bila sababu(awe mme/mke)ni vyema kabla hujaanza relation na ufikirie na si uache kabisa pindi ukishaanza,uzoefu uliopo unaonesha wenzi wengi waliacha wenzi wao bila sababub za msingi au waliishi bila kuolewa,waliolewa wamechelewa sana,au waliolewa na ndoa zao hazikudumu,kamwe si busara kumwacha mtu without reasons habari ya uhusiano ni serious this should get into our brains!
Kila sababu si sababu(take it positively utaelewa).....sababu ya msingi(reasons) za kuanzisha mahusiano ni mapenzi,i.e mr /miss A kaanza mhusiano ya mapenzi na mr/ miss B.vile vile sababu za kuvunja uchumba,ndoa,mapenzi zinapaswa zijengwe / zitokane na mapenzi..Ni ngumu lakini inawezekana mlango ulioanzisha mapenzi ndio huo huo utumike kuvunja mapenzi(mlango wenyewe ni mapenzi)."Reasons" ni zipi?
Maana hakuna anaeacha bila ya reason hata mmoja
Kila sababu si sababu(take it positively utaelewa).....sababu ya msingi(reasons) za kuanzisha mahusiano ni mapenzi,i.e mr /miss A kaanza mhusiano ya mapenzi na mr/ miss B.vile vile sababu za kuvunja uchumba,ndoa,mapenzi zinapaswa zijengwe / zitokane na mapenzi..Ni ngumu lakini inawezekana mlango ulioanzisha mapenzi ndio huo huo utumike kuvunja mapenzi(mlango wenyewe ni mapenzi).
hoja yangu hailengi kuharamisha Hali ya kuvunja mahusiano Bali hoja ni kuwa ukiamua kuvunja uhusiano mwambie/mwombe mwenzio akupe go ahead ya kuvunja uhusiano.any way hii hoja ni pana sana.nimalizie na kielelezo hiki
mkaka mmoja aliyekua kwenye mahusiano na mpenzi wake aliamua kuvunja uhusiano Baada ya kuna the girl he was in relationship with was very good kumzidi yeye(as yeye alikua na act za cheating,n.k)alipokaa akafikiria akaona huyo dada were not for him.its like alikua anamdhulumu.
I very much agree with you!lakini hoja ni hii Hapa maji ukiyavulia nguo sharti uyaoge,au usivuke mto kabla hujapima kina chake.Mtu akikwambia "I'm not happy with you, tuachane" utaona ni sababu ya msingi?
Akija mwengine akikwambia "I'm bored with this relationship, I need something new" utasemaje?
Ninachotaka kusema ni hivi, wewe kwako unaweza usione sababu ya msingi lakini kwa mwengine ni msingi mno
Hakuna universality kwenye hilo
Ndio umeshayaoga, umeona huyawezi. Usitoke kwa sababu mtu mwengine atadhani sababu yako haina msingi?I very much agree with you!lakini hoja ni hii Hapa maji ukiyavulia nguo sharti uyaoge,au usivuke mto kabla hujapima kina chake.
Happiness kwa wengine ndio msingi wa maisha yao. Anaitafuta, akiona hawezi kupata na wewe, hana wajibu kuondoka. Wala haihusiani hata kidogo na kushindwa kuwa mvumilivu.mtu anyesema " i'm not happy with you tuachane" ni yule ambaye kwa sifa na tabia yake si mvumilivu,si mtu wa kuridhika. ,happiness is something you earned out of your deeds,mtu anayesema hivyo ni Yule anayetarajia furaha(happiness) yake(ya uhusiano wake)ijengwe na mtu mwingine na si yeye.
Yupo bored na huo. Labda yeye hawezi maisha ya ki-routine na wew mwanamme huwezi ila kila siku jambo lile kwa lile. Hata mlo kwa ratiba, kila Jumatatu ugali kwa samaki, Jumanne ugali kwa ndondo, Jumapili pilau. Hawezi kwako, lakini haimaanishi atashindwa kwa mwenginehuyu anayesema "I'm bored with this relationship" sio aina ya mtu ataweza kutulia Kwenye uhusiano wowote hata kama uhusiano huo ungekua na nini.
Hakuna kamwe sheria hizo kwenye mapenzi, universally. Umekusudia nini investment ya life and death?love has its standards universally recognised ,love is not very cheap,love is investment of lifetime,investment of life and death,investment of blood and sweats,investment of....(you can just continue mentioning),lets invest wisely for our own benefit.
Uwezo upo, lakini sio anachoweza kufanya Asha, basi na Mwajuma anaweza hicho hicho.pamoja na changamoto zote za relationships tunauwezo mkubwa wa Kujenga mahusiano ambayoni long lasting!
mapenzi yanajengwa na hisia(hisia zinatabia ya fluctuations )you better fluctuate itaccordings!
Ndio umeshayaoga, umeona huyawezi. Usitoke kwa sababu mtu mwengine atadhani sababu yako haina msingi?
Uko sahihi hapo,ni busara siku zote kuuvunja uhusiano amabao hauwanufaishi wote wawili(mmojawapo wa wahusika). lakini siku zote sababu iwe ya msingi.
Happiness kwa wengine ndio msingi wa maisha yao. Anaitafuta, akiona hawezi kupata na wewe, hana wajibu kuondoka. Wala haihusiani hata kidogo na kushindwa kuwa mvumilivu.
Mtu labda kaingia kwenye uhusiano, ila kila interest yake yeye, wewe mwanamme unamkataza. Au unaidharau
Kwanini asikukimbie?
Yupo bored na huo. Labda yeye hawezi maisha ya ki-routine na wew mwanamme huwezi ila kila siku jambo lile kwa lile. Hata mlo kwa ratiba, kila Jumatatu ugali kwa samaki, Jumanne ugali kwa ndondo, Jumapili pilau. Hawezi kwako, lakini haimaanishi atashindwa kwa mwengine
Hakuna kamwe sheria hizo kwenye mapenzi, universally. Umekusudia nini investment ya life and death?
Uwezo upo, lakini sio anachoweza kufanya Asha, basi na Mwajuma anaweza hicho hicho.
Watu tunatofautiana.
Wengine wanaweza himili kipigo, wakati wengine hawawezi hata kufinywa tu
Tusijaribu kuweka sheria zetu kwa watu wote.
27 mkuu.kwan vip?
ni Zablon,huyo rafiki yako inawezeka yeye ndie hajaamua kuachana na his past,kama una mke na watoto kwanini unaendelea kufuata maisha ya ma ex?! tell him to live his life,inaonekana bado anaumia na yaliyotokea.Nawasalimia wana JF
Niko na rafiki yangu wa karibu sana amenisimulia historia yake ya uhusiano na wanawake (sasa hivi ameoa na anawatoto wawili mapacha).
Alinieleza wanawake wote walio muacha kwa vituko wote hawajaolewa. Kanitajia kweli wote wapo wapo tu na umri wao sasa unaenda, na ukiwatazama wanahitaji sana japo wapate wenzi wao.
Sikuelewa sababu gani au imetokea tu. Jamaa kusema kweli huwa anajari, lakini katika maisha yake wanawake zaidi ya watatu walimwacha kwa visingizio eti kwamba hana mkwanja wakutosha.
Japo kuwa rafiki yangu wakati ule alikuwa na kazi ndogo iliyokuwa inamwingizia kipato.
Nimejaribu kuongea naye kuwa hiyo huenda ni jambo la kiroho zaidi, inabidi aende akaongee nao na awasamehe na kuwaachilia.
Yeye kasema alishawasamehe. Lakini nikamsisitiza awatafute aongee nao ili waeze kufunguliwa. Maana kinachoonekana kile walichokuwa wanakihitaji mpaka leo hii hawajakipata. Na wanahaha sasa na sura zao zinaanza kupoteza mvuto.
Mwana JF hebu toa nawewe ushauri hivi hii ni kweli inaweza kutokea?
Nawasilisha hoja.
Nawasalimia wana JF