Jamani wana JF,
Kuna hizi kauli zimekuwa zikitawala sana, hakika kauli hizi zinaboa sijui tufanye nini watu wa aina hii waachane na kauli kama hizi, utakuta mtu mzima kabisa anakwambia mi sipigi kura sioni haja ya kupiga kura, sina chama, watafanya nini kipya, ni yale yale tu nk, kweli inauzi...