Mashirika ya wakulima Tanzania

Edward A Chapa

JF-Expert Member
Sep 3, 2014
957
1,373
Habari ndugu wana jamii forum samahani nilikuwa nauliza kama kuna mtu anayafahamu mashirika ya kilimo au ya wakulima Tanzania Naomba anitajie kwani Nina research nataka kuifanya lakini sijajua nianzie wapi? Project yangu inaitwa Research on the market for Herbicides for Maize Crop in Tanzania
(Questionnaire for Co-operatives) sasa nataka kuyajua hayo mashirika ndipo nianzie hapo asante sana.
 
Agricultural council of tanzania - anzia hapo/i google
TAHA - hii ni ya horticulture lakini
Farm Africa
ulizia huko utapata zaidi
 
Back
Top Bottom