Recent content by mama diwani

  1. M

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kikwete: Wanaodai utaratibu wa kumpata mgombea CCM haukufuatwa labda wanajifanya hamnazo

    Akikata moto litapigwa disco usiku kucha
  2. M

    JamiiForums Tanzania Samaki gani wa baharini (maji chumvi ) ni mzuri kwa supu......

    Kibua the cheapest
  3. M

    JamiiForums Tanzania John Cheyo aliwahi kupata kura Moja kwenye kata yake wakati ana familia ya watu zaidi ya 59 ikiwemo make na watoto,CCM wizi haikuanza leo

    Wananzengo mliokuwepo miaka hiyo mnaikumbuka hili kituko Cheyo aliibiwa kura mpaka akabaki kushangaa,kidogo ndoa ife,Ina maana make na watoto walimpigia mpinzani? Jibu No,kura ziliibwa🥴
  4. M

    JamiiForums Tanzania Ni kweli Bob Junior yuko hoi na kakosa pesa za matibabu?

    Ruge mitutaaba aaba alichangiwa sembuse huyo professa jay nae
  5. M

    JamiiForums Tanzania Nani anafaa kuwa dada wa taifa kati ya Mange Kimambi na Rachel Dangwa?

    Kiboko ya Sameer na jk
  6. M

    JamiiForums Tanzania Polepole anafanyia press lakini wafuasi wa CHADEMA hawalali wanakesha na simu kumsikiliza

    Samia mwenyewe anamsikiliza au naye ni chadema Huna akili
  7. M

    JamiiForums Tanzania Uchawi upo, asikuambie mtu

    Ukiishi Simiyu miezi sita tu mingi utaamini uchawi upo,wachawi sana wasukuma
  8. M

    JamiiForums Tanzania Amini kwamba: Matangazo ya nje ( Out door adverts) yana impact kuwa zaidi kuliko matangazo ya mtandaoni ( Digital Adverts)

    Nimekusoma boss unatukana mabeberu huku Kila unachotumia ni chao,Hadi moyo una pacemaker ya wazungu
  9. M

    JamiiForums Tanzania Mrisho Mpoto: Suala la watu kupotea au kutekwa ni la kiusalama, inamuhusishaje Rais

    Ndio lilimtoa kafara mkewwe shenzy
  10. M

    JamiiForums Tanzania Ali Kamwe ameoa lakini akili bado zero

    Katoto ka single mother
  11. M

    JamiiForums Tanzania Majina ya Wanasiasa vijana wenye utulivu na ambao wanaweza kuupata Urais 2030+

    Bi mashavu kawa rais hata house girl wangu anaweza kuwa rais
  12. M

    JamiiForums Tanzania Yanga hata wakisema Ile milioni 100 ilitoka GSM,kosa lao ni kujihusisha na siasa

    Haji manara alisemaje,wenye akili mko wangapi shubamiti nyie
  13. M

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kuwasilisha malalamiko FIFA

    Hili la sisi mwikonyuma tunatoa laki Moja kwa chama la mbogamboga Leo server itajaa
  14. M

    JamiiForums Tanzania Yanga hata wakisema Ile milioni 100 ilitoka GSM,kosa lao ni kujihusisha na siasa

    Una hela ya kusajili wewe,anasajili Mo Si kazi yetu kuwakumbusha tu kuwa pale jangwani wenye akili ni wawili tu
Back
Top Bottom