Recent content by Mama Derick

  1. M

    Ufugaji wa Kuku wa Kienyeji na Masoko yake

    Asante sana ndugu GAZETI kwa mchango wako mkubwa ambao utasaidia wadau wengi ambao aidha ndo wanataka kuanza kufuga na ambao tayari wapo ktk ufugaji
  2. M

    Mishahara serikalini?

    haya ndo maisha bora kwa kila mtz,ata cjui haya maisha yanakoelekea.vitu vimepanda bei na mishahara yenyewe midogo na bado wanaichelewesha.mi mwenyewe mshahara had leo hakijaeleweka
  3. M

    Kupanda kwa bei ya bia

    uku kwetu ni 1500 kwa 1600,bd haijafika iyo 1800
  4. M

    Fahamu kuhusu vicoba na namna ya kupata usajili wa vikundi hivi vidogovidogo

    aisee hii kitu ni nzuri sana kwakweli.em ngoja namie ntafute wenzangu tutengeneze kundi letu
  5. M

    Milion 3 biashara gani naweza kufanya?

    thanx funzadume kwa mfano wako hai.bora nimejua mapema..thanx
  6. M

    nafasi za kazi tanzania na kwingineko

    Hello kilimasera,nimejaribu kuingia kwny io link apo bt cjaona details za iyo kazi ya LDSP school officer ya NGO ya intervita onlus.nahitaji email yao plz
  7. M

    Milion 3 biashara gani naweza kufanya?

    nashkuru kwa mawazo yako mkuu
  8. M

    Milion 3 biashara gani naweza kufanya?

    nashkuru sana mgombezi,bs naomba untumie contact zao kama ukipata ivo vipeperushi
  9. M

    Milion 3 biashara gani naweza kufanya?

    asante sana mkuu,ntakupigia nipate detailz nyingi.thanx
  10. M

    Milion 3 biashara gani naweza kufanya?

    thanx again qadhi 4 bng so helpful.je unawafahamu suppliers wowote ambao una uhakika nao ndugu yangu?
  11. M

    Milion 3 biashara gani naweza kufanya?

    nashkuru sana voice of reason.ata cjui niwashukuru vp jmn kwa ushirikiano mlionao,ila thanx 4 everything,may GOD bless u more.ntayafanyia kazi mawazo yako
  12. M

    Milion 3 biashara gani naweza kufanya?

    nashkuru sana Qadhi kwa mawazo yako mazuri kbs.am hap kuingia ktk jf mana wana jf are so cooperative.thanx 4 everything. Sasa Qadhi unaweza ukawa na idea wapi zinauzwa izo incubator ndogo pamoja na kifaa cha kuangalia mayai na pia zinauzwa kwa bei gani?
  13. M

    Milion 3 biashara gani naweza kufanya?

    asante sana KWELI,inabd nikae chini nitafakari kwa makini mana mawazo mengi nimepata,ntayatafakari na kufanya chaguo sahih kbs.thanx again
  14. M

    Milion 3 biashara gani naweza kufanya?

    nashkuru sana candid jmn kwa mchango wako wa mawazo bure kbs.Mungu awabarik jmn.je unaweza ukawa unajua chupa moja wanauza bei gani ndugu yangu?
  15. M

    Milion 3 biashara gani naweza kufanya?

    thanx LAT ngoja nku pm unipe detailz.thanx alot
Back
Top Bottom