Gsana
JF-Expert Member
- Aug 28, 2010
- 4,383
- 1,321
Kwa hilo sibishi, hata mimi ni mtumishi wa serikali mpaka sasa sijapata mshahara wa februari lakini nadhani yatakuwa matatizo ya wahasibu na si tatizo la kifedha nchi haiwezi ikakosa pesa za mshahara kwasababu ya uchaguzi, ndiyo huo tunaita uchochezi wewe siyo muathirika lakini unalalamika
mkuu sisi kama wahasibu hatujawahi kupanga wala hatutegemi kupanga tarehe ya mishahara. Ukiongea simama kama wewe ueleze ukweli,sisi tukikuta hamna cheki, hatuwezi ilazimisha hazina iidhinishe ela,naona hapa wahasibu tunaonewa. Nakumbuka hata allowance zikikwama mnajaa uhasibu,sisi ndo tunaidhinisha ela au?nataman siku moja nawe ufanye kazi hii ndo ujue lawama mbaya.