Recent content by mama chupaki

  1. mama chupaki

    Hivi huku Mbweni wanaishi Watanzania? Haya majengo sio poa

    Ukijenga nyumba ya kawaida,utakuwa umechafua mtaa. Maana ukinunua kiwanja 100M basi sharti ujenge nyumba ya 200M na zaidi.
  2. mama chupaki

    Wanaume jiandaeni kupokea maisha baada ya kustaafu

    Yaani mimi nikisoma chapisho hapa JF nikiona tu muandishi hajui kutofautisha herufi. Mari na mali huwa siendelee kusoma. Sijui walisoma wapi?
  3. mama chupaki

    Wasichana wa kazi wa ndani

    Yaani ungejua hiyo elfu 50 na wazazi wao wanaitegemea. Tena siku hizi tuna ajiri form waliofeli kwa hiyo hiyo elfu 50.
  4. mama chupaki

    Jinsi pre-form one inavyoharibu kizazi cha leo

    Ikifika muda wa wanafunzi kumaliza elimu ya msingi.Mimi huwa naona ndio kipindi cha shule binafsi kuchuma pesa ,za interview na pre form one. Mimi watoto wangu huwa hawaendi hizo pre form.Ni muda wao wa kula,kupumzika,kucheza na kunisaidia kazi hapa nyumbani.Hata kama nikiwa na dada wakazi nampa...
  5. mama chupaki

    Wasichana wa kazi wa ndani

    Mshahara elfu 50 ,kula kulala kwa tajiri .Hapo hatujahebu milo yake mitatu kwa siku,sabani ya kuoga na kufulia,matibabu akiugua gharama zote tajiri. Elfu 50 +gharama zote inazidi huo mshahara. Mtoa mada umengalia mshahara tu hukufikiria gharama nyingine anazotoa tajiri.
  6. mama chupaki

    Kuna mwalimu wa Sekondari aliacha Kazi, sasa anaishi kama mwehu

    Labda pesa zote anamaliza kwenye michango kanisani.
  7. mama chupaki

    Morogoro ni Mkoa mzuri namba Moja wa kuishi Tanzania

    Na hasa ubishi waluguru wabishi wanaume wabishi balaa.
  8. mama chupaki

    Wafanyakazi wa hospital ya Butimba Nyamagana wagoma

    Labda dr alitaka kujua kama una minyoo. Maana baadhi ya minyoo husababisha kukuhoa.
  9. mama chupaki

    BRELA: Kalynda ilipewa leseni ya kuuza vifaa vya kielektroniki

    scatec sehemu ninayofanyia kazi watu wanalia. walivyoongia kichwa kichwa na wamepigwa za kichwa haswa. Yaani hajifunzi mie nimeona poa tu,maana watu wanapenda kwa sadala.
  10. mama chupaki

    Katibiwe ila fahamu kuwa tiba mbadala wote ni matapeli

    [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
  11. mama chupaki

    Ngoja niropoke

    mimi sijasoma lakini kupelekeshwa kama boya sipo tayari hata siku moja.Kwani kuacha na kuanza upya siyo shida kabisa.
  12. mama chupaki

    Kwanini wanaume hatusherehekei siku zetu za kuzaliwa?

    Wapo wale instagram ndio wanasheherekea siku zao za kuzaliwa.
  13. mama chupaki

    Katika bara la Antarctica kuna vitu vinafikirisha

    [emoji23] [emoji23] [emoji23]
  14. mama chupaki

    Kitendo alichofanyiwa mbwa leo kimenitoa machozi. Acheni ukatili ndugu zangu

    Ukatili kwa wanyama siungi mkono kwanza ni dhambi. Mbwa mbona rafiki wa binadamu,shukuru sana Mungu huyo jamaa inawezekana ni mgonjwa wa akili.hilo tofali lingeweza kutua hata kwenye mwili wako. Ni vyema ulivyoamua kuvunja ushikaji na yeye. Wataalamu wanavyosema magonjwa ya akili yanaongezeka...
Back
Top Bottom