Askofu siyo mteule wa papa, askofu ni mteule tu miongoni mwa mapadri ambaye baada ya kufanyiwa vetting ya siri,jina lake hua approved na baraza la maaskofu then linapelekwa kwa papa.
Kadinali ni cheo kinachoishia kwenye viunga vya vatican tu,Pengo yeye siyo sauti ya kanisa Tanzania ila ni sauti ya kanisa katoliki jimbo la Dar es salaam,kama si usaliti na ubinafsi,ni ipi sababu iliyo mfanya aongee yale??? Kwamba hakujua uzito wa nafasi yake kama kiongozi na madhara ya kauli...
Hata kama dhamira yako ni kuelimisha,ulicho kisema ni umezidisha kiwango,mimi ni mzaliwa wa njombe na mkazi wa njombe,hayo unayoyasema ni stori za kijiweni tu hazina uhalisia,wenye pesa kutembea na watoto wadogo yapo kila mkoa hata ulaya yapo pengine hata ndugu zako wapo wanao fanya hivyo kwa...
Kiukwel watu wa njombe wameamka hasa vijana na watu ea rika la kati,tangu day 1 watu ealikua wana fika vituo vya kujiandikisha saa 12 asubuh na wanashinda hapo had jioni wanapofunga, mimi binafsi ilinichukua siku 2 kukamilisha kujiandikisha
li
Hapa siyo jukwaa lake husika lakini acha nikupe clue
1.Sajili kampuni (limited company)
2.Leseni ya biashara(wizara ya. biashara na viwanda)watakupa na taratibu zote za kufuata.
3.TIN No. TRA karibu na eneo la biashara yako
4.VAT from TRA
5.Business commencement
Ni mpuuzi tuu huamini anayeamini na kuabudu tofauti na dini koloni (ukristo na uisilamu) basi ni mpagani au mchawi kitu ambacho siyo kweli,hatuendelei kwa sababu ya kukataa asili yetu na kuamini alichosema mzungu na mawakala wake
Ni mpuuzi tuu huamini anayeamin tifauti na dini koloni (ukristo na uisilamu) basi ni mpagani au mchawi kitu ambacho siyo kweli,hatuendelei kwa sababu ya kukataa asili yetu na kuamini aluchosema mzungu na mawakala wake
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.