kadoda11
JF-Expert Member
- Jan 6, 2011
- 21,453
- 20,755
- Thread starter
- #41
unajuaje labda cause ya nyege ni gravity.....thinking out lout....in serious note bana kile kilima wengine kina historia mbaya nakumbuka nilivyokua secondary ..jamaa zangu walipataga ajali ikawaua kama wawili pale walikua wanatoka concert la akon...dah watu walikutwa wamenasa kwenye hivyo vimiti...may their sour rest in peace
pole sana mkuu kwa kupoteza rafiki zako kwa ajali ya gari pale kilimani.hilo la gravitational force kwani tumebisha?!,wala hatujabisha.genye zipo pale pale.