Wakuu hivi ile foleni inayotokeaga maeneo ya Tegeta mpaka Bunju huwa inasababishwa na nini? Maana huwa ni kubwa na haiendi. Unaweza kutumia masaa matano kujongea kidogokidigo lakini ukifika mbele karibu na Bunju hukuti kilichosababisha foleni na barabara ni nyeupe kabisa.
Kwa anayejua...
Kumekuwa na tabia za kutumiwa meseji za kitapeli kwenye simu za mkononi upande wa meseji za kawaida. TCRA wameweza kuzi block meseji hizo. Kwa sasa ukituma meseji ya kawaida yenye ujumbe ndani yake una neno FREEMASON sms hiyo haiendi! Watu wengi wamelizwa kwa kudhani meseji hizo ni za freemason...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.