Ni ukweli usiopingika JK alijitahidi sana kwenye baadhi ya mambo kama vile, CHUO KIKUU CHA UDOM, TAASISI YA MOYO MUHIMBILI, UPANUZI WA CHUO KIKUU CHA MUHIMBILI KULE MLOGANZILA CAMPUS PAMOJA KUIACHIA FREEDOM OF SPEECH KWA VITENDO.
BAVICHA hakuna mnachokijua ila ni matusi tu pale mnapozidiwa HOJA, tumieni hata MOTHER BRAIN ili mueze kufanya simple analysis. NDIO MAANA FISADI LOWASSA ALIAMUA KUWALETA WAZUNGU KUJUMLISHA KURA ZAKE KWA KUWA NYINYI HAMNAZO.
Porojo za vijiweni na mbaya sana dada yangu, hawa watu hawatumii akili kabisa,WEKENI USHAHIDI TUWAAMINI VINGINEVYO SISI WANANCHI TUTAJUA KWAMBA MNA AGENDA YA SIRI. HATUTAKI MANENO TUNATAKA MWENYE USHAHIDI AUWEKE HADHARANI.
Hivi wewe unaakili timamu kweli mwenyewe ameshasema yule aliyemfunga kamba za viatu ni nani na paLE ILIKUWA WAPI,AMEWEKA KILA KITU BAYANA WEWE MPUMBAVU MWENYE SHINGO NENE BADO UNANGANGANA KWAMBA YULE NI MAKONDA. TUMIA AKILI WEWE NYUMBU
katika kitu ambacho sisi watu tunaofuatilia siasa za Tanzania muda MREFU hatutosahau tukio kubwa alilofanya JK KWA KUSIMAMA IMARA KUHAKIKISHA KWAMBA KUNDI LA MAJIZI likiongozwa na JIZI KUU LOWASSA kwamba haliingii ikulu.kundi hili liliwahonga karibu robotatu ya wapiga kura ndani ya NEC wakiamini...
Mionmgoni mwa ofisi zilizojitahidi kufichua madudu katika nchi hii ni hii ya CAG,AMEFICHUA MADUDU MENGI SANA LAKINI HAWANA MENO ,ANYWAY RAIS ANAMAMLAKA YA KUMTEUA CAG LAKINI HANA MAMLAKA WALA UTHUBUTU WA KUMUONDOA HII NI KWA MUJIBU WA KATIBA YETU.UPO HAPO
DUH kama walioenda shule wote wangekuwa na mtazamo finyu na wakilofa kama wako basi kusingekuwa na maana ya kwenda shule. Wakati mwingine ni busara kuficha ujinga wako.pole sana kamanda
Frankly speaking pamoja na mapungufu yake yoooote alicheza kama pele kuhakikisha huyo fisadi na kundi lake la akina Rostam haliingi ikulu.BIG UP JK KWA HILO
Mwanasiasa kama machali ni sawa kabisa kutorudi bungeni sababu hakuna alichokifanya hapa jimboni kwake,alikuwa hakubaliki hata kidogo na kauli zake zilikuwa chafu sana kwa wapiga kura wake,isipoikuwa alipokuja zitto ndio kidogo watu wakanza kumsikiliza majukwaani eti zitto alimuombea msamaha...
Naunga mkono hoja hii kwa asilimia kubwa sana, kundi hili la FISADI LOWASSA NDILO LILILOMKWAMISHWA Kikwete kwa asilimia kubwa sana,kifupi mtandao wake kikwete ulimgharimu sana katika utendaji wake na ndio maana kwa kulijua hilo hakutaka kufanya makosa yale tena AKAAMUA KIROHO SAFI KABISA AND FOR...
Ni uzumbukuku wa kiwango cha juu kufikiria kwamba eti Lowassa atafanya hayo yote uliyoyaandika hapo juu,kumbuka nyuma ya lowassa kuna Rostam Aziz na Karamagi pamoja na marafiki zake wengine ambao yeye mwenyewe hataki kuwataja hao wanamchangia pesa nyingi sana kwenye kampeni zake kuanzia...
Hapo umedanganya kamanda hakuna sehemu ambayo hakubaliki kabisa kama hizo sehemu ulizozitaja,katika miaka yake yote ya ubunge wakuchaguliwa na wananchi kingunge kwa asilimia kubwa hakuna alichowafanyia watu wake. Na ndio maana aliishiwa kubebwa tu na ubunge wa kutauliwa kwa miaka...
Mtoto wa darasa la pili asimamie wizara? wewe haupo objective kabisa. Kwa kifupi ni kwamba kila mh magufuli alipowekwa alionesha outstanding perfomance rejea wizara alizofanya kazi.
Magufuli ndio waziri pekee ambaye mpaka wapinzani bungeni wamethubutu kumsifia kwa perfomance yake, hata huyo...
Usikwepe hoja kamanda, cha kufanya ili muaminike katika jamii ya waislamu mgombea wenu atangaze kumkana Gwajima kwamba aliyotamka Gwajima yeye hayamhusu na Gwajima hayuko naye katika mbio zake kuelekea ikulu.vinginevyo hii sumu ikishapelekwa kwa waislamu wote itamgharimu ndugu Lowassa.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.