Masinki
JF-Expert Member
- Dec 18, 2014
- 713
- 481
Hukujibu hoja Bali umejibu lililokuwa limekubanaAkina Kafulila walikuw kama Yatima Mwnykt wao Alikuwa bize kumdalalia Kura Fisadi, Gwajima alipozozana na Dr.Slaa kuhusu ujio wa Fisadi haya yalikuwa mambo ya ndani ya Chama cha kushangaza alietumwa kusema Kamati kuu ya Chadema ilifuata kanuni alikuwa Mliberali Mbatia badala ya viongoz wa Chadema, Kafulila kabanwa mbavu kigoma hana msaada anampigia simu Mwnykt wake wa Taifa anamjibu eti komaa mpaka kieleweke yeye yupo bize na Nduli haramia na mpishi wa matokeo feki kwa njia ya mtandao