1 Timotheo 2:11-14
11 Mwanamke na ajifunze katika utulivu, akitii kwa kila namna.
12 Simpi mwanamke ruhusa ya kufundisha, wala kumtawala mwanamume, bali awe katika utulivu.
13 Kwa maana Adamu ndiye aliyeumbwa kwanza, na Hawa baadaye.
14 Wala Adamu hakudanganywa, ila mwanamke alidanganywa...
Mwanzo 9:4-6
4 Bali nyama pamoja na uhai, yaani, damu yake, msile.
5 Hakika damu yenu ya uhai wenu nitaitaka; na kwa mkono wa kila mnyama nitaitaka; na kwa mkono wa mwanadamu, kwa mkono wa ndugu ya mtu nitataka uhai wa mwanadamu.
6 Atakayemwaga damu ya mwanadamu, damu yake huyo itamwagwa na...
Wanyama na viumbe ulivyovitaja hapo..viliumbwa ili vitawaliwe na mwanadamu, Ila mwanadamu aliumbwa atawaliwe na Mungu. Ukiielewa hii sentesi hautakuwa na maswali zaidi.
Kwahiyo unataka kutuaminisha kwamba tangu ameanza chuo mpaka anabakiza research hajawahi wasiliana na uongozi wala hao ma CR? Huyo hajafuata taratibu husika na ndio maana niliuliza hivyo. Course works na mitihani alifanyaje?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.