Waweza kutumia Dc unlocker ambayo ni software ya kulipia online,but kama unaweza pata crack yake its okay,but sidhani kama crack ya version ya Dc unlocker inayoweza kuanlock hiyo simu imekwishatoka.kwanza inatakiwa uwe na uwezo wa kulipia online,pili download software ya dc unlocker ,tatu...
Kwanza mm ntatofautiana na wote wale waliokushauri kuanza na c,c++,c# or java.... But niko upande wa watu wale waliokushauri kuhusu python na kama umeanza html bac pia ungeanza na php or ruby coz pia hizi ni rahisi kujifunza na pia zinatumika kwenye web development.....but language kama c or c++...
Nilikuwa nampa heshima huyu wanaemwita prof....ila sasa nimegundua kuwa huyu jamaa hafai kabisa....huyu jamaa ni mdini mdini mdini vibaya mno......hafai hata kupewa uenyekiti wa mtaa..halafu ni kitu kinachochekesha eti mchakamchaka iipuku m4c hahahahaha ni kichekesho..........
Wakuu mm nipo zaidi kwenye upande wa Android coz hii os kwanza ni opensource hii inamaanisha kwamba mtu yeyote mwenye uwezo anaweza kuicustomize iweze kuingia kwenye handset yake kama unavyoinstall window latest version kwenye komputer yako!!!!its totally possible!!!mm binafsi ninatumia the...
Ninachoipendea zaidi DTA ni kwamba haili internet bandwidth yako yote,ukiwa unabrowse itajistabilize kulingana na bandwidth inayotakiwa kukuwezesha kubrowse pages....
Wadau kwa wale mnaotauta a complete alternative to idm solution imepatikana na hii ni kwa watumiaji wa firefox!!! kuna addon ya firefox inaitwa DownThemAll!! hii addon itakuwezesha kufanya vitu vingi ambavyo ungeweza kufanya na idm including fastdownloads!!!! resuming na much more!!! na ni...
Nawakubali Nokia na window phones zao ila kinachonisikitisha ni kutokuwa na function ya kutransfer documents kama pdf kutoka kwenye computer kwenda kwenye simu!!! ukitaka kutransfer documents basi ni lazima uapload kwenye either email,skydrive dropbox n.k then udownload tena kwenye simu yako!!!
Mkuu mi natumia Ebay ya Marekani,pale naona resellers wengi hawapendi kuship vitu vya Elecronics kwenda nchi hususan za Africa,nilikuwa naomba kama una majina ya resellers ambao huwa wanaship to Tanzania.
Mkuu mimi nataka kununua simu ebay lakini resellers wengi huwa hawaship kuja bongo!! je unaweza ukananipa majina ya resellers ambao wanaweza ship simu zao kuja bongo?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.