Waweza anza na python - high level object oriented -
Python Programming Language – Official Website, Python official website. Waweza move on kujifunza Perl, PhP, Java, etc., kutegemeana unataka kufanya nini. Python inafanya almost kila kinachofanywa na java, Perl, PhP na zaidi. Pia ina kupa uwezo wa kuimport or "to borrow/incorporate" libraries kutoka languages zingine kama C++, Java, Matlab, etc. Vilevile kuna variants za python kama Jython - inakupa java-like interface. Python ni very powerful lakini ni slow kuliko kwa mfano C++.
Kuna C++, C, C#, Fortran etc.,. C++ recommended for heavy programs - it's fast.
Kwa kifupi inategemeana na unachotaka kufanya:
Powerful industrial programs, Engineering apps, Numerical and scientific computations, Games, Web apps (dynamic web pages, web servers) , Cloud computing, Communication and Networking, etc.,
Nenda
DaniWeb - Technology Publication Meets Social Media,
http://stackexchange.com/,
Stack Overflow upate challenges zenye akili ndio kichwa chako kikae sawa.
NB: Kwa C++ unaweza kuanza na kitabu kinaitwa Accelerated C++, Practical Programming by Example by Andrew Koenig and Barbara E. Moo.
Kwa Java: Teach Yourself Java in 21 Days by Laura Lemay & Charles L. Perkins.