Recent content by Maloso

  1. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wakenya mnatuharibia Kiswahili

    Wakenya wengi huwa free style sana, huu wimbo huwa hata siuelewi maanake umejaa sheng kali
  2. M

    JamiiForums Tanzania Nimempa ujauzito mpenzi wa rafiki yangu

    Saaaaaanaaaaaa
  3. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Simeon Nyachae: Huyu jamaa alikuwa mfanyabiashara hodari sana

    MK254 hawa watz kisirisiri hutamani kuishi kama sisi wakenya, usijali kelele zao
  4. M

    JamiiForums Tanzania Naomba Kukaribishwa

    Nimekaukiwa mno huku
  5. M

    JamiiForums Tanzania Nimempa ujauzito mpenzi wa rafiki yangu

    Wanaosema huenda hiyo mimba si yangu nakubaliana nao kwa kiwango kikubwa. Huyu binti tayari ashaanza kuniomba pesa eti akaitoe...kisa? asema naonekana ni kama sitaki kujukumika. Huyu nitamzimia simu na nimpotelee
  6. M

    JamiiForums Tanzania Nimempa ujauzito mpenzi wa rafiki yangu

    Hii noma bratha, usiwahi mshauri rafikiyo aachane na mpenziwe hata awe na tabia chafu vipi. Atakuchukia na kukuona mwenye wivu usiye mtakia mema katika uhusiano wake. Baya zaidi atamwambia mwenzake kuwa wamshauri amwache
  7. M

    JamiiForums Tanzania Nimempa ujauzito mpenzi wa rafiki yangu

    Wewe una tatizo gani na "iyo"?
  8. M

    JamiiForums Tanzania Nimempa ujauzito mpenzi wa rafiki yangu

    Nisichokuwa na uhakika nacho ni kama ile mimba kweli ni yangu ama yuanisingizia tu
  9. M

    JamiiForums Tanzania Nimempa ujauzito mpenzi wa rafiki yangu

    Hili halitokei nyakati zote.
  10. M

    JamiiForums Tanzania Nimempa ujauzito mpenzi wa rafiki yangu

    Nitagura walahi
  11. M

    JamiiForums Tanzania Nimempa ujauzito mpenzi wa rafiki yangu

    Wee acha utani....nipe ushauri mwafaka
  12. M

    JamiiForums Tanzania Nimempa ujauzito mpenzi wa rafiki yangu

    Nimekuwa nikila uroda na demu wa rafiki wangu kwa muda sasa. Hili limekuwa likifanyika kila rafiki wangu anapoingia zamu ya usiku pale kazini pao. Huyu demu wake hupenda pesa na anasa. Nilianza kumtongoza kisirisiri usiku mmoja tulipokuwa katika kilabu fulani mjini tukilewa. Katika zile...
  13. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Sonko akamatwa na kufunguliwa mashitaka ya ujambazi na vurugu

    Sonko ni mpumbavu
  14. M

    JamiiForums Tanzania Naomba Kukaribishwa

    Mzae nirushie kademu kamoja yellow yellow nijibambe nako
  15. M

    JamiiForums Tanzania Naomba Kukaribishwa

    Huku Nairobi kumejaa kunguru, hawafugiki
Back
Top Bottom