Mimi ni mkazi wa tabora TANESCO tbr kwa kweli wanatuangusha sana tumetowa ripoti shida ya nyaya toka Jana mpk leo hawajarudi.kifupi walichelewa kufika wakaangalia na kuzima umeme ila mpk siku ya Leo hawajarudi.Nyaya hizo hizo ziliwaka moto kipindi mvua ilikuwa inaonyesha.
Ninahitaji ushauri,
Mimi ni mfanyabiashara hapa Tabora na huwa nalipa SDL ya wafanyakazi bila kuwachelewesha malipo ya mwezi.
Tulivyoenda lipa SDL ya mwezi wa kwanza tukalipa na nikaambiwa malipo ya mwezi unaofuata tutalipa online tumefanya hivyo ila sasa ukiingia online ninaona imeandikwa...
tabora kuna barabara mpya mkuu wa mkoa ameiita toronto mwaka jana aliita wamachinga wamejipanga hapo katikati ya mji kila jumamosi na jpili watu kujazana mpk huruma wameweka maji ya kunawa leo yapo kesho hakuna wangefikiria jinsi ya kutatuwa hili aisee hata kuwapa eneo kubwa wasikaribiane ...
Ngovongo, Wewe unajikarantini wenzio hawafanyi hivyo siku ukiambiwa watoto wanarudi shule watakutana na vitoto vingine ambao wazazi walikuwa hawajikarantini
Sent using Jamii Forums mobile app
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.