TANESCO TABORa

malogi1976

JF-Expert Member
Apr 22, 2016
297
168
Mimi ni mkazi wa tabora TANESCO tbr kwa kweli wanatuangusha sana tumetowa ripoti shida ya nyaya toka Jana mpk leo hawajarudi.kifupi walichelewa kufika wakaangalia na kuzima umeme ila mpk siku ya Leo hawajarudi.Nyaya hizo hizo ziliwaka moto kipindi mvua ilikuwa inaonyesha.
 
Poleni sana...

Nyie Jana tu leo mnalalamika Kuna binadamu wametoa taarifa toka awamu ya nne mpaka leo ya sita na bado hawajatokea...

Ngoja waje kukupa muongozo Kwa kukuomba location na number ya simu...
 
Mimi ni mkazi wa tabora TANESCO tbr kwa kweli wanatuangusha sana tumetowa ripoti shida ya nyaya toka Jana mpk leo hawajarudi.kifupi walichelewa kufika wakaangalia na kuzima umeme ila mpk siku ya Leo hawajarudi.Nyaya hizo hizo ziliwaka moto kipindi mvua ilikuwa inaonyesha.
Ndugu mpendwa Mteja wetu

Tunafurahia kukuhudumia kupitia kurasa zetu za mitandao ya kijamii, tafadhali onesha taarifa kamili kwa huduma bora.

Jina

Eneo

Wilaya

Namba ya simu

Tatizo

Toka lini

Namba ya taarifa

Ahsante sana

TANESCO Huduma kwa Wateja

SIMU : 0748550000
 
Back
Top Bottom