Urinary Tract Infection (UTI): Chanzo, Dalili na Kinga/Tiba yake

T14 Armata

JF-Expert Member
Mar 7, 2017
2,454
2,000
Nenda tu Katoe ushuhuda kimasihara imekuletea hiyo ugonjwa.
Huwezi jua utaokoa wangapi.
Wale hawataki ushauri wanataka stories za kufanikisha. Kwanza huwezi kwepa hii maana hakuna vipimo vya fangasi mpaka hospitali.
 

Extra miles

JF-Expert Member
Apr 18, 2018
1,866
2,000
Mbona zamani haikuwa case miaka hii imezidi. Ina maana wanawake wa zamani huwa walikuwa hawaendi chooni.....?!
Tofauti na zamani, siku hizi interaction zimekuwa nyingi hivyo usafi hauzingatiwi hususan public toilets na maji yanayotumika humo
 

moj6

JF-Expert Member
Nov 2, 2017
3,136
2,000
Kutakana na data kutoka kwenye vipimo vya urine culture and sensitivity inaonyesha kwamba dawa aina ya nitrofurantoin ni best drug(sensitivive) competed to dawa nyingine,nimekuwa nashangaa mtu anaeumwa UTI kutumia Cipro,Cipro ni dawa Kali ina side effects nyingi pia husababisha drug resistance,hivyo basi tujitahidi kuelimishana juu ya hili,
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar threads

Top Bottom