Recent content by Malkia bora

  1. M

    JamiiForums Tanzania Kuna mipango ya kupunguza idadi ya wabunge wa upinzani bungeni Kuanzia wa majimbo hadi wa viti maalumu

    Tuandamane na yote mabaya ya serikali na ccm yao yajulikane!!!!_Tumechoka kusikia watoto wetu na nduguzetu wanauawa ama kuteswa!
  2. M

    JamiiForums Tanzania Makamanda wa Polisi (Iringa & Dar) watofautiana sakata la Abdul Nondo

    Bongo movie hiyo!!!!!!! I wish there was an Angel to take away social media. Bahati mbaya over 20 million peple Tz wana whatsup!!!! Lol!
  3. M

    JamiiForums Tanzania Naibu Katibu Mkuu BAVICHA, Getrude Ndibalema ajiuzulu nafasi yake na kubaki mwanachama wa kawaida

    Hata ikiwa hoi ina heshima mara mia kuliko uvccm
  4. M

    JamiiForums Tanzania Wanasiasa Tusivuruge Amani !

    Maandamano ya amani sana yatakuwepo kila mkoa kila kijiji kila kitongoji kila jiji. Tuone kaw watawaua wote. Hapo tutajua nanianachezea amani ya nchi hii.Ni watawala ama nyama mbadala. Kuanzia leo sitasema upinzani.
  5. M

    JamiiForums Tanzania Kakonko: Diwani CHADEMA afunguka Polepole alivyomtumia watu kumshawishi kujiunga na CCM

    Kama maprofesa wanaweza kunyamazia upuuzi na kubakia kusifia kwa ajili ya mishahara na kama Polepole anaweza kununua watu pamoja na elimu yake na ethics anazojidai nazo unategemeaje madiwani wasio na mishahara waziache hizo pesa. Hata chadema wangekuwa na pesa na ujinga huo wa ccm wangeweza pia...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Tangu tupate uhuru hatukuwahi kukandamizwa na hatupo tayari

    Haya yatafikia deaf ears!
  7. M

    JamiiForums Tanzania Uhuru, Raila wameweza, sisi tunashindwa nini?

    Wale wameendelea. Sisi tumerudi nyuma miaka 50 kama alivyosema Ulimwengu!
  8. M

    JamiiForums Tanzania DC Ali Hapi awanyang'anya ofisi Wabunge Mdee, Mnyika na Kubenea wa CHADEMA. Kubenea ang'aka...

    Hata mimi nimeshangaa. Miaka hii tunalipa kodi kwa ajili ya chattle tu ama vipi?????
  9. M

    JamiiForums Tanzania Kuhusu kilio cha demokrasia kuminywa , Lema njoo ujifunze siri

    Kuna tofauti kati ya heshima na kuabudu. Wakina Bashite na Mnyeti wanataka watu wote wabatizwe ccm hata ambao hatuna vyama kama mimi na wote tuimbe ndiyo ndiyo hata wakinunua watu ama kuiba kura eti kwa kuwa hiyo ni chama tawala.
  10. M

    JamiiForums Tanzania Kuhusu kilio cha demokrasia kuminywa , Lema njoo ujifunze siri

    To respond to this is an insult to me because we have more rude gov leaders than wapinzani. I would wish all gov leaders were as intelligent as Samia Suluhu and a few others. Many of them are shitholes!
  11. M

    JamiiForums Tanzania Tukemee Shetani la Linalotushawishi Kupata Katiba Mpya!!

    Mada nzuri sana ila average and underaverage people hawawezi kujadili hiyo.
  12. M

    JamiiForums Tanzania Polisi: Ukaidi wa CHADEMA ndio chanzo cha kifo cha Aquilina

    Zero brains!!!!
  13. M

    JamiiForums Tanzania Magufuli siyo sawa na Mubarak wala Gadaffi

    Kwa nino serikali haikemei mauaji?
  14. M

    JamiiForums Tanzania Laiti watanzania wangejua ya Ikulu wangewapiga mawe

    Musiba mwingine? Kwa hiyo unataka tuwe china. Kwa nini tuwe Wachina? Wale wana shida ya population. Sisi tuna shida gani? Go to hell!
  15. M

    JamiiForums Tanzania Abdul Nondo anaweza kuja na maelezo yatakayowaacha watu midomo wazi

    Stupid fool!
Back
Top Bottom